Tuwakumbuke Mastaa Waliowahi Kutamba Pamba Fc ya Mwanza

Tuwakumbuke Mastaa Waliowahi Kutamba Pamba Fc ya Mwanza

1122342

Nakukumbusha, hii ndiyo Pamba ya Mwanza enzi hizo, timu yenye uwezo mkubwa na wachezaji ambao kama leo wangekuwa wanacheza, basi Ulaya ni kunusa tu.
Waliocheza Simba enzi hizo waulize kikosi hiki, TP Lindanda au Wana Kawekamo.

Waliosimama toka kushoto: Madatta Lubigisa,
Rajabu Musoma,
Beya Simba,
Nteze John ‘Lungu’,
Kitwana Selemani ‘Popat’,
Fumo Felician,
Pascal Mayala na
Paul Rwechungura.

Waliokaa toka kushoto:George Gole,
Khalfan Ngassa,
Ally Bushiri,
Alphonse Modest,
Mao Mkamy ‘Ball Dancer’,
Saleh Muhammad,
Hamisi Nyembo na
Nico Bambaga

Kilichofuata baada ya hapo: Madatta alistaafu akiwa Pamba, Beya na Nteze walitua Simba, Fumo na Mayala walienda Yanga, Gole alibaki Pamba, Ngassa na Ball Dancer walitua Simba, Modest alienda Simba kisha Mtibwa Sugar, Bambaga alienda Malindi kisha Simba
 
1122373

* KIKOSI KAMILI CHA PAMBA F.C. YA MWANZA ( T. P. LINDANDA au KAWEKAMO ) ENZI HIZO.

Waliochuchumaa ( Kutoka Kulia ).
Hamza Mponda.
Juma Amir Maftaha.
Rashid Abdallah.
George Masatu
Hamis Nyembo.
Abdallah Bori na
Khalfan Ngassa.

Waliosimama ( Kutoka Kushoto ).
Madata lubigisa.
Ibrahim Magongo.
Fumo Felician.
David Mwakalebela.
Rajab Risasi.
Hamisi Selemani.
Beya Simba,
Ali Bushiri.
Hussein Amani Masha na
Paul Rwechengura
 
Attachments

  • 29790098_1734496523276348_4189071690348023845_n.jpg
    29790098_1734496523276348_4189071690348023845_n.jpg
    28.8 KB · Views: 23
View attachment 1122342
Nakukumbusha, hii ndiyo Pamba ya Mwanza enzi hizo, timu yenye uwezo mkubwa na wachezaji ambao kama leo wangekuwa wanacheza, basi Ulaya ni kunusa tu.
Waliocheza Simba enzi hizo waulize kikosi hiki, TP Lindanda au Wana Kawekamo.

Waliosimama toka kushoto: Madatta Lubigisa,
Rajabu Musoma,
Beya Simba,
Nteze John ‘Lungu’,
Kitwana Selemani ‘Popat’,
Fumo Felician,
Pascal Mayala na
Paul Rwechungura.

Waliokaa toka kushoto:George Gole,
Khalfan Ngassa,
Ally Bushiri,
Alphonse Modest,
Mao Mkamy ‘Ball Dancer’,
Saleh Muhammad,
Hamisi Nyembo na
Nico Bambaga

Kilichofuata baada ya hapo: Madatta alistaafu akiwa Pamba, Beya na Nteze walitua Simba, Fumo na Mayala walienda Yanga, Gole alibaki Pamba, Ngassa na Ball Dancer walitua Simba, Modest alienda Simba kisha Mtibwa Sugar, Bambaga alienda Malindi kisha Simba
Asante kwa kumbukumbu murua
 
Hu
View attachment 1122373

* KIKOSI KAMILI CHA PAMBA F.C. YA MWANZA ( T. P. LINDANDA au KAWEKAMO ) ENZI HIZO.

Waliochuchumaa ( Kutoka Kulia ).
Hamza Mponda.
Juma Amir Maftaha.
Rashid Abdallah.
George Masatu
Hamis Nyembo.
Abdallah Bori na
Khalfan Ngassa.

Waliosimama ( Kutoka Kushoto ).
Madata lubigisa.
Ibrahim Magongo.
Fumo Felician.
David Mwakalebela.
Rajab Risasi.
Hamisi Selemani.
Beya Simba,
Ali Bushiri.
Hussein Amani Masha na
Paul Rwechengura
Huyo golie Madata Lubigisa mwanae alikuja kucheza mpaka Simba ile ya mwaka 2003
 
Aliwahi kuuza mechi moja pale ccm kirumba, alitolewa uwanjani na escort ya polisi
Yap Nasikia Mchezaji wa Malindi akiitwa Abdu Malaika alikuwa anajiandaa kupiga penalty Basi Juma Mhina akaanguka mapema so ikawa kazi rahisi kwa Abdu Malaika kufunga goli lililosababisha timu ya Malindi kuwa Mabingwa wa Tanzania yasemekana Mwanza Nzima ilikuwa kama imepatwa na Msiba mji ulikuwa kimya kabisa Juma Mhina akaokolewa na Polisi nadhani ndio ukawa mwisho wake kuchezea Pamba na Ndipo Paul Rwechungura akawa kipa wa Pamba... Wana kawekamo walikuwa juu kimpira kufungwa na wazenji ilikuwa fedheha sana...
 
Paul Rwechungura
Mao Mkami
Dan Muhoja
James Washokera
Jemin Kiiza
Nico Bambaga
John Makerele
Khalfan Ngasa
Nteze John
Hamza Mponda
Marehemu Dan Mhoja sizani kama aliwai kuchezea Pamba. Alitoka Biashara ya Mwanza akasajiliwa na Simba
 
Aliyekuwa Mkongo, jina lake nimelisahau, ila alikuwa maarufu kwa jina la "BATALOGOTA BENYEWE KUNYAVU!"
Jina hilo lilitokana na MAJIGAMBO yake kuwa timu zitakazokutana na Pamba, zitakuwa na kazi moja tu, kuokota mipira kwenye nyavu baada ya kufungwa magoli!
Roul Shungu
 
Yap Nasikia Mchezaji wa Malindi akiitwa Abdu Malaika alikuwa anajiandaa kupiga penalty Basi Juma Mhina akaanguka mapema so ikawa kazi rahisi kwa Abdu Malaika kufunga goli lililosababisha timu ya Malindi kuwa Mabingwa wa Tanzania yasemekana Mwanza Nzima ilikuwa kama imepatwa na Msiba mji ulikuwa kimya kabisa Juma Mhina akaokolewa na Polisi nadhani ndio ukawa mwisho wake kuchezea Pamba na Ndipo Paul Rwechungura akawa kipa wa Pamba... Wana kawekamo walikuwa juu kimpira kufungwa na wazenji ilikuwa fedheha sana...
Yeah, ndio ilikuwa hivyo aliinyima pamba ubingwa wa kombe la Muungano, watu walihuzunika sana, alihama mwanza kwa muda manake hadi mtaani watu walikuwa wanamvizia
 
Back
Top Bottom