Tuwakumbuke Mastaa Waliowahi Kutamba Pamba Fc ya Mwanza

Tuwakumbuke Mastaa Waliowahi Kutamba Pamba Fc ya Mwanza

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Klabu ya Soka ya Pamba Fc ya Mwanza wana Tp Lindanda wanapambana na Kagera Sugar katika mchezo wa kuwania kupanda ligi kuu.

Pamba ni timu iliyotesa sana miaka ya nyuma, kuna wachezaji wengi waliwahi kucheza hapo na kutamba vilivyo kabla ya kwenda kwenye klabu nyingine.

Leo tuwakumbuke baadhi ya wachezaji waliotamba Pamba Fc ya Mwanza miaka ya nyuma.

Mimi naanza na George Magere Masatu...
 
Back
Top Bottom