born in june
Senior Member
- Dec 5, 2018
- 168
- 338
Ila walio wengi wanaochomekea, ukiwafuatilia maisha yao nje ya uwanja, ni watu fulani walio smart na kujipenda. Sio rahis kuchomeke kma sheria haikubani.
Ndo maana hata watoto wa shule, akimaliza tu vipindi akiwa anaondoka, anachomolea shati....!!!
Ndo maana hata watoto wa shule, akimaliza tu vipindi akiwa anaondoka, anachomolea shati....!!!