born in june
Senior Member
- Dec 5, 2018
- 168
- 338
NaamJamie Defoe
MtukutuMnamkumbuka uyuView attachment 1273650View attachment 1273651
Maxi NzengeliZamani sheria za mpira ziliwataka wachezaji wa mpira wa miguu wawapo uwanjani basi hawana budi kuwa wamechomekea jezi zao ndani ya bukta zao. Ika baadae FIFA wakaja wakaifuta sheria ile.
Bado kuna wachezaji wachache wamesalia na mtindo huo wa kuchomekea jezi muda wote wa mchezo. Hebu leo tuwakumbuke wanandinga hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao:
1. Simon Francis wa Bournemouth
2. Scott Parker
Maxi Mpia NzengeliZamani sheria za mpira ziliwataka wachezaji wa mpira wa miguu wawapo uwanjani basi hawana budi kuwa wamechomekea jezi zao ndani ya bukta zao. Ika baadae FIFA wakaja wakaifuta sheria ile.
Bado kuna wachezaji wachache wamesalia na mtindo huo wa kuchomekea jezi muda wote wa mchezo. Hebu leo tuwakumbuke wanandinga hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao:
1. Simon Francis wa Bournemouth
2. Scott Parker