nilipokelewa na mtoto wa kaka yangu mwaka 2012
akanikopa 250,000 mwaka 2015 akaja kunilipa baada ya miaka 7.
wakati namdai alidai hawezi kunilipa kwa sababu nilikaa kwake miezi miwili bure๐๐๐ so hio ndio gharama za kuishi kwake (wakati huo ananisalimia kabisa ba mdogo๐
๐
๐
)
Any way maisha yana mengi ya kutufundisha