Hizi dini zinawatisha sana watu. Yaani mzazi atelekeze watoto akiwa kijana, nao watoto wamtelekeze yeye akizeeka, alafu unaleta habari za kujuta siku mzazi akiondoka?Kuna tatizo ukiona mzazi hakumbukwi ,ila kijana tambua hakuna kosa atakalofanya mzazi kwako then usimkubuke ...Utakuja kujuta siku wakiondoka.
....kwa mzazi mwenye tijaJambo jema sana
Mzazi ni mzazi bila yeye usingekuwepo.....kwa mzazi mwenye tija
Nisingekuwepo ningepungukiwa nini? Tena Africa, bara lililojaa kila aina ya laana?Mzazi ni mzazi bila yeye usingekuwepo.
Sometimes unaweza kukua ukakuta umepandikizwa sumu dhidi ya mzazi mmoja ukadhani ni kweli, ulipaswa kujua hapo awali kabla mmoja hajaacha kutekeleza majukumu yake ni nini kilitokea? Pengine alisalitiwa, au aliambiwa mtoto si wake, japo ni wake? Tusihukumu bila kupata ukweli wa pande zote.Nisingekuwepo ningepungukiwa nini? Tena Africa, bara lililojaa kila aina ya laana?
Wazazi watimize wajibu wao, laa sivyo acheni kuzaa kama hamuwezi kutunza watoto.
Ninakaa uswahilini ninaona mengi. Hali inatisha sana.Sometimes unaweza kukua ukakuta umepandikizwa sumu dhidi ya mzazi mmoja ukadhani ni kweli, ulipaswa kujua hapo awali kabla mmoja hajaacha kutekeleza majukumu yake ni nini kilitokea? Pengine alisalitiwa, au aliambiwa mtoto si wake, japo ni wake? Tusihukumu bila kupata ukweli wa pande zote.
Ni kweli uswahilini kuna mengiNinakaa uswahilini ninaona mengi. Hali inatisha sana.
Asante sana ndugu yangu kwa ujumbe mwanana ila na hao wazee wajifunze kuishi vema na watoto wao wangali wana nguvu za kutafuta.
Kutelekeza watoto ujanani kisha kutegemea waje kukujali uzeeni kwa kutegemea vitisho vya taasisi ya dini eti utakosa radhi ya baba/mama ilhali hukuwaomba wakuzae, hiyo imepitwa na wakati. People no longer fear religious threats.
Kila mmoja should play his part accordingly so we could avoid these unnecessary blames and name calling.
....kwa mzazi mwenye tija
Katika bara lililojaa tabu, vita na njaa, kuna umuhimu gani wa kuwa muafrika??Mzazi mwenye tija? Shukuru hukutolewa ukiwa mimba au husikii watu wanatoaga tu huko tangu zamani.
Ningetolewa nikiwa mimba, maana yake ni kwamba nisingezaliwa Africa, bara la hovyo kuliko yote hapa duniani. Ninajutia kuwa muafrika.Kweli wazazi wanaweza kuwa walikosea ila rudisha hatua nyuma kidogo tu kama hawakupendi mbona walikulea hata kama kwa kiasi kidogo.simama na asili yako ambayo ni wazazi wako.Ungekuwa wapi wangekutoa ungali mimba?
Siamini kabisa katika laana. Ninaamini kwamba kwenye maisha kuna ups and downs (kupata na kukosa)Ukiiendekeza hiyo laana itakumaliza hata wewe
Kuna tatizo ukiona mzazi hakumbukwi, ila kijana tambua hakuna kosa atakalofanya mzazi kwako then usimkubuke. Utakuja kujuta siku wakiondoka.
Ningetolewa nikiwa mimba, maana yake ni kwamba nisingezaliwa Africa, bara la hovyo kuliko yote hapa duniani. Ninajutia kuwa muafrika.
Sio dini wala tamaduni ila mfumo walotulea wazazi wetu ni mfumo wa kijamaa zaidi yaan mfumo wa kutafuta maisha ya kileo ya kukuza watoto bila kujiwekea akiba ili siku hawana nguvu ziwasaidie.Asante sana ndugu yangu kwa ujumbe mwanana ila na hao wazee wajifunze kuishi vema na watoto wao wangali wana nguvu za kutafuta.
Kutelekeza watoto ujanani kisha kutegemea waje kukujali uzeeni kwa kutegemea vitisho vya taasisi ya dini eti utakosa radhi ya baba/mama ilhali hukuwaomba wakuzae, hiyo imepitwa na wakati. People no longer fear religious threats.
Kila mmoja should play his part accordingly so we could avoid these unnecessary blames and name calling.
Kwani niliwaambia wanilete kwenye linchi la ajabu kama hili, na matatizo chungu mzima na hofu mbalimbali za hii dunia.Mzazi ni mzazi bila yeye usingekuwepo.