Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Africa hii hii wanasiasa wana waibia wananchi wenzao. Africa hii hii ukiwa mpinzani fursa zote za pesa unafungiwa. Africa hii hii mtu kama Ben Saanane anapotea na hakuna maelezo ya kueleweka. Bara la hovyo sana hili.Kwa akili hii hata ungezaliwa ulaya hakuna kitu ungefanya,Afrika hii hii watu wanajenga,hii afrika watu wanamiliki ukwasi mkubwa.ulaya wengi ni wapangaji.