Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Africa hii hii wanasiasa wana waibia wananchi wenzao. Africa hii hii ukiwa mpinzani fursa zote za pesa unafungiwa. Africa hii hii mtu kama Ben Saanane anapotea na hakuna maelezo ya kueleweka. Bara la hovyo sana hili.Kwa akili hii hata ungezaliwa ulaya hakuna kitu ungefanya,Afrika hii hii watu wanajenga,hii afrika watu wanamiliki ukwasi mkubwa.ulaya wengi ni wapangaji.
A responsible parent will always be taken care of. Mzazi mzembe na mchoyo atakula alipopeleka mboga. Full stop.Wengine waliuza mifugo na mazao ili twende shule au kuhudumia sisi hivyo tunapofanikiwa tusikate mizizi yao.
Sina shida na responsible parents. Hawa ni watu wema sana.Hivyo wazazi wetu tusiwatenge hawakujiandaa na tunachojidai sisi kuwa kila mtu na maisha yake.
Mjini tunakoishi tunavuja hela sanaa tunasahau wazazi vijijini wakiteseka
Elfu kumi kwa wazazi wetu wa kijijini ni kubwa mnoo.
Universal law......ubaya ukiutengeneza hakika utakurudia.Siamini kabisa katika laana. Ninaamini kwamba kwenye maisha kuna ups and downs (kupata na kukosa)
Kabisa...then jambo kama hilo linakuja kukupata.....yeye pia hakuwa chanzo....chunguza.A responsible parent will always be taken care of. Mzazi mzembe na mchoyo atakula alipopeleka mboga. Full stop.
Africa hii hii wanasiasa wana waibia wananchi wenzao. Africa hii hii ukiwa mpinzani fursa zote za pesa unafungiwa. Africa hii hii mtu kama Ben Saanane anapotea na hakuna maelezo ya kueleweka. Bara la hovyo sana hili.
Hiyo ni karma sasa, and I do believe in it.Universal law......ubaya ukiutengeneza hakika utakurudia.
Usipomtunza mzazi mzembe na mchoyo, hakuna laana.Kabisa...then jambo kama hilo linakuja kukupata.....yeye pia hakuwa chanzo....chunguza.
Nitaenda Ulaya kuliko kujifariji eti nao walikuwa na viongozi maandazi kama wa Africa ila wakafanya mageuzi. Bara la hovyo sana hili.Hata ulaya walipita hizi hatua,Rushwa unyinyaji walipitia ndio maana kulikua na mapunduzi ulaya,lakini unatakiwa kutafuta mpenyo sio kulaumu au kuchukia mzazi au nenda ulaya basi
Nitaenda Ulaya kuliko kujifariji eti nao walikuwa na viongozi maandazi kama wa Africa ila wakafanya mageuzi. Bara la hovyo sana hili.
HujanielewaUsipomtunza mzazi mzembe na mchoyo, hakuna laana.
Sio dini maana upo kasi sana tangu ujue wazungu ..Hizi dini zinawatisha sana watu. Yaani mzazi atelekeze watoto akiwa kijana, nao watoto wamtelekeze yeye akizeeka, alafu unaleta habari za kujuta siku mzazi akiondoka?
Hahahaa, sawa mkuu hakika wewe ni genius.Kichwa maji wew utanipotezea muda
Mzazi aliyenilea tangu mdogo mimi sina shida naye kwa maana huyo ni shujaa kwangu. Lakini mzazi anayetelekeza mtoto huyo ndio adui yangu.Sio dini maana upo kasi sana tangu ujue wazungu ..
Kama huamini dini si lazima ila wazazi wako waliokulewa tangu mdogo .
Kwa akili hizo ungezaliwa ulaya ungekuwa kichaaa.
Wakiondoka utajutaje sasa kama ulikuwa hauwakumbuki.Kuna tatizo ukiona mzazi hakumbukwi, ila kijana tambua hakuna kosa atakalofanya mzazi kwako then usimkubuke. Utakuja kujuta siku wakiondoka.
Vp kama mzazi naye hakutimiza wajibu wake kwa mtoto??Wakiondoka utajutaje sasa kama ulikuwa hauwakumbuki.
Hata mi nimemuuliza. Kama humkumbuki mzazi akifa utajutaje tena. Anayejuta ni yule anayemkumbuka. Maana hata pengo analiona ila ambaye hamkumbuki hata pemgo hatolionaVp kama mzazi naye hakutimiza wajibu wake kwa mtoto??