SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nimeshaona dalili hawa Yanga mwaka huu watakuwa na tantalila nyingi.
Embu ona mifano michache ya timu kubwa na hata zile ndogo zilivyosherehekea mwaka mpya.
Wenzetu wakaamua kutuangushia gazeti la kurasa mbili.
Halafu wanasema 2024 wamecheza mara mbili hatua ya makundi. Huu ni udanganyifu wa wazi kabisa. Hivi mafanikio ya timu tunayahesabu kwa mwaka au kwa msimu?