Hauna tofauti na yule mwenzako kila mada anaongelea class na form. Inaonyesha hizo mambo za class, form na afya ya akili bado ni mageni kwenu, mnakaushamba fulani kanashindwa kujificha.Kuna ushauri ulitolewa humu Jamii forums kwamba wawapime members afya ya akili
Sasa hapa unaweza kuona, wenye akili humu jukwaani tuko wachache