johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nimeitumia siku ya leo kukiombea kilichokuwa chama kikuu cha upinzani yaani Chadema kifanye vizuri kwenye vikao vyake vya uteuzi vinavyoanza leo pale Mlimani city
Watanzania tunapenda kuwaona Chadema wakibaki kuwa wamoja baada ya kumpata mgombea wa urais na wajitahidi kuvunja makundi yote yaliopo sasa
Wajifunze kutoka kwa CCM Zanzibar ambao baada ya kupata mgombea sasa wamekuwa kitu kimoja
Nawatakia mkutano mwema wajumbe wote
Maendeleo hayana vyama!