Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 518
- 722
We nenda tu kamfate.Twendeni na Lazaro Nyalandu Makamanda
We nenda tu kamfate.Twendeni na Lazaro Nyalandu Makamanda
Hata Lisu mwenyewe kura yake atampigia Nyalandu!Mlimani City tayari uko Nyarandu kapita.
ukumbi mzima ni Nyara,,,Nyara,,,Nyara,,,0yoooo
Nimeitumia siku ya leo kukiombea kilichokuwa chama kikuu cha upinzani yaani Chadema kifanye vizuri kwenye vikao vyake vya uteuzi vinavyoanza leo pale Mlimani city
Watanzania tunapenda kuwaona Chadema wakibaki kuwa wamoja baada ya kumpata mgombea wa urais na wajitahidi kuvunja makundi yote yaliopo sasa
Wajifunze kutoka kwa CCM Zanzibar ambao baada ya kupata mgombea sasa wamekuwa kitu kimoja
Nawatakia mkutano mwema wajumbe wote
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee siasa ni sayansi......tena siyo uadui!Alafu ww jamaa Ni CCM lkn unapenda habari za Chadema kuliko CCM....
Ni special agent wa ccm huyoAlafu ww jamaa Ni CCM lkn unapenda habari za Chadema kuliko CCM....
Ni special agent wa ccm huyoAlafu ww jamaa Ni CCM lkn unapenda habari za Chadema kuliko CCM....
Huo ndio mpasuko wa mwisho ,kila mmoja na hamsini zake,wa mbao,bati,misumali kivyaoNimeitumia siku ya leo kukiombea kilichokuwa chama kikuu cha upinzani yaani Chadema kifanye vizuri kwenye vikao vyake vya uteuzi vinavyoanza leo pale Mlimani city
Watanzania tunapenda kuwaona Chadema wakibaki kuwa wamoja baada ya kumpata mgombea wa urais na wajitahidi kuvunja makundi yote yaliopo sasa
Wajifunze kutoka kwa CCM Zanzibar ambao baada ya kupata mgombea sasa wamekuwa kitu kimoja
Nawatakia mkutano mwema wajumbe wote
Maendeleo hayana vyama!
Kwani uongo kuwa wewe ni mnafiki?Endelea kukariri!
Ccm muliwashindanisha kina nani? This is shallow.Bila Lissu kushinda hakuna cha umoja [emoji41]
Unafiki ndio siasa yenyewe bwasheeKwani uongo kuwa wewe ni mnafiki?
Wasaliti mmeshindwa kuwapandikiza maana akina Cecilia Mwambe wameona cha moto huko ccm na akina lijuakali pamoja na akina gekuli, silinde yamewatokea puani. Huko mlimani city kuna nidhamu hatari.
CDM kinatisha!Nimeitumia siku ya leo kukiombea kilichokuwa chama kikuu cha upinzani yaani Chadema kifanye vizuri kwenye vikao vyake vya uteuzi vinavyoanza leo pale Mlimani city
Watanzania tunapenda kuwaona Chadema wakibaki kuwa wamoja baada ya kumpata mgombea wa urais na wajitahidi kuvunja makundi yote yaliopo sasa
Wajifunze kutoka kwa CCM Zanzibar ambao baada ya kupata mgombea sasa wamekuwa kitu kimoja
Nawatakia mkutano mwema wajumbe wote
Maendeleo hayana vyama!
Mmmmmmhhh......sidhani...Nimeitumia siku ya leo kukiombea kilichokuwa chama kikuu cha upinzani yaani Chadema kifanye vizuri kwenye vikao vyake vya uteuzi vinavyoanza leo pale Mlimani city
Watanzania tunapenda kuwaona Chadema wakibaki kuwa wamoja baada ya kumpata mgombea wa urais na wajitahidi kuvunja makundi yote yaliopo sasa
Wajifunze kutoka kwa CCM Zanzibar ambao baada ya kupata mgombea sasa wamekuwa kitu kimoja
Nawatakia mkutano mwema wajumbe wote
Maendeleo hayana vyama!
Kila mjumbe achukue muda atafakari kuhusu mkt, ananatosha, aendelee kuwa Mfalme wa kudumu?