johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Amina!Mungu ni Mkuu sana
Kura ni siri bwashee!Twendeni na Lazaro Nyalandu Makamanda
Endelea kukariri!Hatuhitaji maombi ya wanafiki.
Awapi!Twendeni na Lazaro Nyalandu Makamanda
Hawa hawasomeki sawasawa!Wajumbe ni wale wale au???
Mbowe alishatangaza kung'atuka kipindi hiki kikiisha na anatamani mrithi wake atoke Bawacha!Kila mjumbe achukue muda atafakari kuhusu mkt, anatosha, aendelee kuwa Mfalme wa kudumu.