Tuwaombee CHADEMA watoke Mlimani City wakiwa wamoja na siyo vipande vipande!

Mlimani City tayari uko Nyarandu kapita.
ukumbi mzima ni Nyara,,,Nyara,,,Nyara,,,0yoooo
 
Wasaliti mmeshindwa kuwapandikiza maana akina Cecilia Mwambe wameona cha moto huko ccm na akina lijuakali pamoja na akina gekuli, silinde yamewatokea puani. Huko mlimani city kuna nidhamu hatari.
 

Alafu ww jamaa Ni CCM lkn unapenda habari za Chadema kuliko CCM....
 
Huo ndio mpasuko wa mwisho ,kila mmoja na hamsini zake,wa mbao,bati,misumali kivyao
 
Natafakar kwamba leo eti CCM wampokee mtu toka CDM halafu wamchague kupeperusha bendera ya Urais halafu wanachama wao wa miaka mingi wawaone hawana sifa?hii hainingii akilini..CDM msje Mka mleta Ng'ombe zizini asienamkia ..!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Japo sioni uwezekano wa Lisu kushinda hata katika neutral ground na tume huru, lakini wajumbe hawatakitendea haki chama na wanachama wao wakimkata mtu ambae amekua mpambanaji wa kuhakikisha chama kinaendelea kusimama hata baada ya kuondoka kwa Daktari Slaa.
 
Wasaliti mmeshindwa kuwapandikiza maana akina Cecilia Mwambe wameona cha moto huko ccm na akina lijuakali pamoja na akina gekuli, silinde yamewatokea puani. Huko mlimani city kuna nidhamu hatari.

Wengi wanaonesha nidhamu kama ya makatibu wao wastaafu, Slaa na Mashinji. Mweee!
 
CDM kinatisha!
 
Mmmmmmhhh......sidhani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…