Tuwaombee Kenya, hali inazidi kuwa mbaya

Msiwasingizie majirani kwa chuki zenu.
Hao si wakenya wala waganda
 
Unaogopa kufa kwa Corona unaenda kifa kwa njaa
 

Shida mbaya sana.
Watu wanafungiwa ili kuepuka corona, lakini kwa sabau ya shida wanaandamana na kuchoma matairi eti waruhusiwe watoke ili wakakutane na corona.
 
Huwezi kua na tatizo moja ukaongeza lingine utashindwa kupambana tu njaa plas Corona Vita hio ni kubwa kwa nchi za kiafrica
Shida mbaya sana.
Watu wanafungiwa ili kuepuka corona, lakini kwa sabau ya shida wanaandamana na kuchoma matairi eti waruhusiwe watoke ili wakakutane na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alidanganya waTanzania kuna total lockdown Kenya?
Usiku pekee kuna curfew, watu walale nyumbani na familia zao. Mchana maisha ni kawaida. Tunaenda kazi kama kawaida, enda pale twitter mwangalie vile tuna foleni Nairobi juu ya watu kurudi maisha ya kawaida
 
Ahahahahaahah kumbe hamjaa kaa Lock down mlivyo kua mnajitapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya imekumbwa na kipindu pindu Hali ni mbaya toka Jana wamesha kufa watu 10 Kenya kwa uzembe wake na ujinga wa kuwafungia watu mdan bila mipango amesababisha mripuko mwingine unao gharim maisha ya watu

KENYA sasaiv inapambana na
Corona
Kipindu pindu
Njaa
Na ujinga wa viongozi wao Mungu awasaidie wanach wasio na hatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…