Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa nao ni akina nani.Msiwasingizie majirani kwa chuki zenu.
Hao si wakenya wala waganda
Unaogopa kufa kwa Corona unaenda kifa kwa njaa
Habari wadau
Kwa pamoja Tuwaombee ndugu zetu wa Kenya wanao pitia wakat mgum kipindi hichi Cha Corona
Wananch wa Kenya wameshindwa kuvumilia serekal Yao na kuamua kufanya vurugu ikiwa ni moja ya harakat za kuto kukubalia na unyama wanao fanyiwa na viongoz wa nchi yao Kenya na viongozi wake wote wa ngazi za juu wanatakiwa wawasikilize wananch wao
RAIS Uhuru kinyata anaizika Kenya kwa mikono yake miwil uke unanii walio mwita Rais wetu huenda ukawa ni unanii wa Rais wao
Pia wapinzan wa TANZANIA mnatakiwa mtuambie mkiwa viongoz wa nchi mtakua mnaongoza nchi kwa matakwa yenu au matakwa ya wananchi?
Maana wananchi wa Tanzania wamerufisha na hatua za Rais Magufuli alizo chukua na ndio walizo ziunga mkono alafu nyie hamtak mnataka njia zenu na si za wananch Sasa Kati ya magufuli na nyie Nan dikteta?
Pia kinachoendelea Kenya kiwe somo kwenu
Shida mbaya sana.
Watu wanafungiwa ili kuepuka corona, lakini kwa sabau ya shida wanaandamana na kuchoma matairi eti waruhusiwe watoke ili wakakutane na corona.
nimeona huruma asee Magufuli apokee tu simu tuwahurumie ndugu zetu hawa japo hawana ubinadamuJaman kenya Moto unazid kuwaka watu wameanza kuanguka kisa njaa
View attachment 1454436
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alidanganya waTanzania kuna total lockdown Kenya?
Usiku pekee kuna curfew, watu walale nyumbani na familia zao. Mchana maisha ni kawaida. Tunaenda kazi kama kawaida, enda pale twitter mwangalie vile tuna foleni Nairobi juu ya watu kurudi maisha ya kawaida
Tunafanya social distancing, sanitizing and wearing masks. No social gathering.