MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
tuliza mshono we mwanayanga, yanga ilitakiwa ipate kipigo cha mbwa koko kutokana na uwanja wake kuzima taa wakati wa mchezo ili rivers wakiondoka wasihisi walifanyiwa hujuma. Mnapata ushindi katika mazingira tata halafu mnaanza kuzodoa wenzenu, tulia safari bado inaendele, mkichukua kombe rudi na ngebe zenu mtaeleweka kwa mashabiki wa simba, mpira unadunda ewe shabiki wa yangaDiagnosis iko hivi;
Mungu awafanyie wepesi.
- Stress level iko juu
- Wana msongo mkubwa wa mawazo
- Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and
- Kujinyonga ni most natural and probable consequence.
Maumivu yakizidi muone daktarituliza mshono we mwanayanga, yanga ilitakiwa ipate kipigo cha mbwa koko kutokana na uwanja wake kuzima taa wakati wa mchezo ili rivers wakiondoka wasihisi walifanyiwa hujuma. Mnapata ushindi katika mazingira tata halafu mnaanza kuzodoa wenzenu, tulia safari bado inaendele, mkichukua kombe rudi na ngebe zenu mtaeleweka kwa mashabiki wa simba, mpira unadunda ewe shabiki wa yanga
Wameshikwa pabaya sanaWanajifariji na vineno vya uongo eti "hatuwadai simba" hamuwadai kivipi na wametolewa kwahiyo mnaidai yanga au🤣🤣
Wanajitekenya na kucheka wenyewe......acha wafurahie kwa muda tu.Nusu fainali ya shirikisho ndo mnaringa hivyo. Mbona hayo mashindano kabla hayajaitwa shirikisho (CAF Confederation) Simba alifika hadi fainali mwaka 1993
Nawashangaa sana mkuuWanajitekenya na kucheka wenyewe......acha wafurahie kwa muda tu.
Kufa kiume cup nalo mmebeba hongereniNusu fainali ya shirikisho ndo mnaringa hivyo. Mbona hayo mashindano kabla hayajaitwa shirikisho (CAF Confederation) Simba alifika hadi fainali mwaka 1993
Historia haipigiwi makofiNusu fainali ya shirikisho ndo mnaringa hivyo. Mbona hayo mashindano kabla hayajaitwa shirikisho (CAF Confederation) Simba alifika hadi fainali mwaka 1993
Nusu fainali ya shirikisho ndo mnaringa hivyo. Mbona hayo mashindano kabla hayajaitwa shirikisho (CAF Confederation) Simba alifika hadi fainali mwaka 1993
Angalau na wao wameweka rekodi mpya karne hii maana waliishi kwa kujificha mno.Nawashangaa sana mkuu
Huu ni muda sana sio kidogo......... YANGA itabeba kila takataka hadi mudi anuneAngalau na wao wameweka rekodi mpya karne hii maana waliishi kwa kujificha mno.
.........acha wafurahie kwa muda kidogo
Tunaomba ambulance please, hii ni emergency case ya MirembeSisi washagiliaji, wapenzi wasimba hatunaga uwehu, shida ndogo ndogo wengi ni vigogo tosha we ulizia fanya tafiti kubwa asilimia kubwa sana watu wenye pesa ndio wanatushangilia Simba wachache sana ndio wanauchumi wakati , so hakunaga Simba ambaye ni wamaskini, na pia hatujaligi, kuwa mmetufunga Kisa hamjui kucheza mnaotea wengi w yanga niwamaskini , wachovu, wanamambo ya kiswahili, hawajielewi wanataje hawana utajiri mnabahatisha pesa .
Mnapanic , hamjiamini mmhamjieewi nyie mnajisifu tu ujinga kama Kenya wanawafunga SI shida Kenya ,Uganda wanawafunga , nyie mnaangalia point na mechi za hapa sio za nje ligi za maana . Angalia eti manara ni msemaji mkuu sijui akaona aibu akatolewa , anapesa zakuunga hadi mademu wanamkimbia eti harmonize ndio anasaidia kumlea mke wa manara , halafu wanaume wengi wa yanga nguvu za kiume hawanaga halafu automatic , Simba yetu haina ubaguzi ila nyie mnayo hadi wa dini siye aku hatuna wa dini
Kweli hilo nalo neno acha wafarijike kidogoAngalau na wao wameweka rekodi mpya karne hii maana waliishi kwa kujificha mno.
.........acha wafurahie kwa muda kidogo
Hahaa hata hili la kufika nusu fainali Yanga litakuwa historiaHistoria haipigiwi makofi
Kimataifa Simba bado ina rekodi nzuri kuliko YangaKufa kiume cup nalo mmebeba hongereni