Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea.

Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.

Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?

TUWAOMBEE
 
Attachments

Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.

TUWAOMBEE
Mungu awavushe salama.
Wasije kutana na ule ujinga wa mwaka jana wa mitihani kuvuja.
 
Hao ni wana SAYANSI

Sayansi ni vikwazo na njia ya kuvitatua

Sasa wapambane na hali wakishindwa kutatua vikwazo hivyo watawezaje kutatua vikwazo ndindindi kama Coviid 19, na presha za wanasiasa wakiwa kazini katika maeneo yao ya kazi?

Wapambane na kila mtu atavuna alichopanda
 
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.

TUWAOMBEE
Kuna wengine jana usiku ndo wanaambiwa hawana sifa za kufanya leo,,wakati walikua na sifa hapo kabla.
 
Hayo yamewapata wengi katika vyuo hivi vya kishenzi. hasa kule machame, takataka tupu kule!
 
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?

TUWAOMBEE
ni kweli vyuo vya kati haieleweki vinaendeshwaje,pale tufanye nageuzi;
 
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?

TUWAOMBEE
Kuna mtoto wetu anasoma hivi vyuo, kila la heri kwake.
 
Jambo la maana waombee wapate kazi au waweze kujiajiri.. hyo mitihani Kila mtu anafaulu tu miaka hii
 
Hao ni wana SAYANSI

Sayansi ni vikwazo na njia ya kuvitatua

Sasa wapambane na hali wakishindwa kutatua vikwazo hivyo watawezaje kutatua vikwazo ndindindi kama Coviid 19, na presha za wanasiasa wakiwa kazini katika maeneo yao ya kazi?

Wapambane na kila mtu atavuna alichopanda
Ukiwa na uwezo mdogo wa kuchanganua na kujadili mambo ni heri ukae kimya kuliko kujizolea aibu ndogondogo zinazokwepeka
 
Back
Top Bottom