Mungu awavushe salama.Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.
TUWAOMBEE
afadhali umelitaja. Iliwaumiza vijana sanaMungu awavushe salama.
Wasije kutana na ule ujinga wa mwaka jana wa mitihani kuvuja.
wewe wasema, alisikia Bwana yesu akimwambia mbaya wakeHao ni wana SAYANSI
Sayansi ni vikwazo na njia ya kuvitatua...
Kuna wengine jana usiku ndo wanaambiwa hawana sifa za kufanya leo,,wakati walikua na sifa hapo kabla.Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.
TUWAOMBEE
Hayo yamewapata wengi katika vyuo hivi vya kishenzi. hasa kule machame, takataka tupu kule!Kuna wengine jana usiku ndo wanaambiwa hawana sifa za kufanya leo,,wakati walikua na sifa hapo kabla.
afadhali kusema kuliko kutosema maana hata ukinyamaza utakufa tu!Then tunataka Tanza-nia isonge mbele eti
ni kweli vyuo vya kati haieleweki vinaendeshwaje,pale tufanye nageuzi;Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?
TUWAOMBEE
Tupaze sauti kunusuru watoto wetu na vyuo hivi vya kishenzini kweli vyuo vya kati haieleweki vinaendeshwaje,pale tufanye nageuzi;
Kuna mtoto wetu anasoma hivi vyuo, kila la heri kwake.Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya mtihani, can you imagine! Mkenda waziri wa elimu uko wapi?
TUWAOMBEE
Yaani ni vurugu tupu hivyo vyuo, na kweli mwka mzima hawajawahi pata likizo... mateso matupuNiliambiwa wao vyuo vya afya havifungwi
si kweli...Jambo la maana waombee wapate kazi au waweze kujiajiri.. hyo mitihani Kila mtu anafaulu tu miaka hii
Ukiwa na uwezo mdogo wa kuchanganua na kujadili mambo ni heri ukae kimya kuliko kujizolea aibu ndogondogo zinazokwepekaHao ni wana SAYANSI
Sayansi ni vikwazo na njia ya kuvitatua
Sasa wapambane na hali wakishindwa kutatua vikwazo hivyo watawezaje kutatua vikwazo ndindindi kama Coviid 19, na presha za wanasiasa wakiwa kazini katika maeneo yao ya kazi?
Wapambane na kila mtu atavuna alichopanda