Really? Ni kosa la jinai? Kifungu gani cha sheria kinachosema hivyo because that is too draconian in my book. And how is it enforced? Do they snoop into people's homes to find out if someone is gay or what? What is the punishment?
This is a very interesting piece of news to me....enlighten me, please..
bahati mbaya sina kumbukumbu ya vifungu vya sheria lakini mahusiano ya jinsia moja ni kosa la jinai tanzania.
Duh basi hiyo ni hatari sana because for the longest I thought love could not be legislated. I mean, are they serious? Two consenting adults having sex or doing whatever..how is that anybody's business to poke their nose in? It's just downright unadulterated balderdash!!!!
sio hatari ni utaratibu na ustaarabu ambao jamii fulani imejiwekea....kama ulivyosema MAADILI YAKO KWA MWINGINE SIO MAADILI same applies to ustaarabu na sheria....
Hmmm sasa "maadili" gani hayo na "utaratibu" gani huo unaonyima watu wa hiyo jamii fursa ya kufanya wapendayo iwapo hawamdhuru mtu au kitu chochote? Our society is very discriminatory if you look it through the prism of what you just said. We fought hard against racial discrimination in Southern Africa and all around the world but yet we have discriminatory laws in our books that discriminate against some of our own citizens under the pretext of "utaratibu na ustaarabu ambao jamii fulani imejiwekea". Nonsense.
Jamii lazima ikubali mchanganyiko (diversity) wa watu. Wote hatuwezi kuwa sawa na watu wasinyimwe fursa za kufanya yale yawapayo furaha ili mradi tu hawadhuru wengine na vingine.

nafikiri sehemu nyingi duniani including tz unaruhusiwa kufanya lolote upendalo as long as u dont break the rules/law....unfortunately in our society[tz] homosexuality is against the law......
Then that law is a bad law....
:becky:nafikiri sehemu nyingi duniani including tz unaruhusiwa kufanya lolote upendalo as long as u dont break the rules/law....unfortunately in our society[tz] homosexuality is against the law......
:becky::becky:Then that law is a bad law....
:becky::becky::becky:....you have a point.....just like those who say it is a good law....
:becky:
:becky::becky:
:becky::becky::becky:
Mimi naunga mkono, tuwaombee kama Muumba hatatusikiliza tuige sheria za jirani zetu Waganda.
natamani kuwaambiwa 'mshindwe na mlegee' lkn nasita maana tayari 'wao kwisa legea'.
naomba tuwaombee hawa wapendwa watokwe na huo ulegevu na kugangamara tena kiume.
Maadili? What maadili? Hivi hujui kuwa mambo ambayo ni maadili kwako kwa wengine sio maadili? Wewe umekuwa nani kuanza ku dictate na ku impose yale uyaonayo kuwa maadili yanayofaa kwa wengine? Acheni hizo bana....magay ni binadamu kama wewe na mimi na huo ndio ukweli wa mambo na huwezi kuthibitisha vinginevyo.
Ngabu,
Mimi nina hakika kuwa wewe ni Mtanzania, Achana na hao wengine ambao kwao maadili siyo muhimu, katika Tanzania yetu hii ambayo mimi na wewe tumezaliwa na kukulia tumelelewa katika misingi ya kueshimiana kupendana na na kuthamiana, UTU wa mtu ni kipimo cha thamani halisi. Sitarajii kuona kuwa ndugu zetu wanapotoka kwa kuiga mambo yasiyofaa nasi tukakaa kimya, na ndiyo maana enzi hizo ukionekana unatukana hadharani haijalishi wewe ni mtoto wa nani unakula bakora, manake ni jukumu letu wote kusimamia maadili. Suala la Magay kuwa binadamu hakuna anayepinga, tunakemea tabia hiyo.
Mimi na tuwaombee kama Muumba hatatusikiliza tuige sheria za jirani zetu Waganda.
Katika pita pita zangu kwenye majamvi mengine, nimegundua baadhi ya kina dada wanashabikia hii tabia. Kuna mmoja wanamwita Bilal(picha hapo chini) wanaelezea jinsi anavyowafurahisha kwenye Kitchen party na Vibao kata na kusema yuko juu.Watanzania tunavyopenda kuiga sita shangaa wakina dada wakianza kuongoza nao shopping kama Kimora Simmons.
Huyu hapo juu, model my foot...mtoto ana mapozi kushinda hata zangu.
View attachment 12524
:drama: queen.