tuwaombeeni...

tuwaombeeni...

Really? Ni kosa la jinai? Kifungu gani cha sheria kinachosema hivyo because that is too draconian in my book. And how is it enforced? Do they snoop into people's homes to find out if someone is gay or what? What is the punishment?

This is a very interesting piece of news to me....enlighten me, please..

bahati mbaya sina kumbukumbu ya vifungu vya sheria lakini mahusiano ya jinsia moja ni kosa la jinai tanzania.
 
Duh basi hiyo ni hatari sana because for the longest I thought love could not be legislated. I mean, are they serious? Two consenting adults having sex or doing whatever..how is that anybody's business to poke their nose in? It's just downright unadulterated balderdash!!!!
 
sio hatari ni utaratibu na ustaarabu ambao jamii fulani imejiwekea....kama ulivyosema MAADILI YAKO KWA MWINGINE SIO MAADILI same applies to ustaarabu na sheria....
 
Hmmm sasa "maadili" gani hayo na "utaratibu" gani huo unaonyima watu wa hiyo jamii fursa ya kufanya wapendayo iwapo hawamdhuru mtu au kitu chochote? Our society is very discriminatory if you look it through the prism of what you just said. We fought hard against racial discrimination in Southern Africa and all around the world but yet we have discriminatory laws in our books that discriminate against some of our own citizens under the pretext of "utaratibu na ustaarabu ambao jamii fulani imejiwekea". Nonsense.

Jamii lazima ikubali mchanganyiko (diversity) wa watu. Wote hatuwezi kuwa sawa na watu wasinyimwe fursa za kufanya yale yawapayo furaha ili mradi tu hawadhuru wengine na vingine.
 
:ranger::ranger::ranger:..!copy that
 
nafikiri sehemu nyingi duniani including tz unaruhusiwa kufanya lolote upendalo as long as u dont break the rules/law....unfortunately in our society[tz] homosexuality is against the law......
 
Then that law is a bad law....
 
daah washikaji hivi mtu aliyekofit upstairs anaweza kuutetea huu ufirauni.........!!!hawa hata nikipashana nao nasikia kinyaa....Mungu hakuwa **** kutuumbia warembo wa jinsia ya kike......angetaka si angetuumba wote midume........mtu anasex na hawa lazima scrue za ubongo wake ziwe zimelegea maana kuna warembo wavutiao wakumwaga kama kina preta cheusimangala firstlady merry roza.................!!!
................mtu akitetea sana hii kitu inabidi kumtilia shaka na walakini kidogo.....................!!
......ubwabwalism is unacceptable........!!period..........!!
 
Duh??hawa jamaa legelege naskia hata kuvunja biskuti hawawezi ni kweli jamani?
 
39890_143861552307801_100000518720650_340856_3514175_n.jpg

39890_143861615641128_100000518720650_340862_1166388_n.jpg
38985_143861595641130_100000518720650_340860_5657083_n.jpg
natamani kuwaambiwa 'mshindwe na mlegee' lkn nasita maana tayari 'wao kwisa legea'.

naomba tuwaombee hawa wapendwa watokwe na huo ulegevu na kugangamara tena kiume.
Mimi naunga mkono, tuwaombee kama Muumba hatatusikiliza tuige sheria za jirani zetu Waganda.
Katika pita pita zangu kwenye majamvi mengine, nimegundua baadhi ya kina dada wanashabikia hii tabia. Kuna mmoja wanamwita Bilal(picha hapo chini) wanaelezea jinsi anavyowafurahisha kwenye Kitchen party na Vibao kata na kusema yuko juu.Watanzania tunavyopenda kuiga sita shangaa wakina dada wakianza kuongoza nao shopping kama Kimora Simmons.
Huyu hapo juu, model my foot...mtoto ana mapozi kushinda hata dada zangu.
View attachment 12524
 
Maadili? What maadili? Hivi hujui kuwa mambo ambayo ni maadili kwako kwa wengine sio maadili? Wewe umekuwa nani kuanza ku dictate na ku impose yale uyaonayo kuwa maadili yanayofaa kwa wengine? Acheni hizo bana....magay ni binadamu kama wewe na mimi na huo ndio ukweli wa mambo na huwezi kuthibitisha vinginevyo.

Ngabu,
Mimi nina hakika kuwa wewe ni Mtanzania, Achana na hao wengine ambao kwao maadili siyo muhimu, katika Tanzania yetu hii ambayo mimi na wewe tumezaliwa na kukulia tumelelewa katika misingi ya kueshimiana kupendana na na kuthamiana, UTU wa mtu ni kipimo cha thamani halisi. Sitarajii kuona kuwa ndugu zetu wanapotoka kwa kuiga mambo yasiyofaa nasi tukakaa kimya, na ndiyo maana enzi hizo ukionekana unatukana hadharani haijalishi wewe ni mtoto wa nani unakula bakora, manake ni jukumu letu wote kusimamia maadili. Suala la Magay kuwa binadamu hakuna anayepinga, tunakemea tabia hiyo.
 
Mimi nasimamia haki za binadamu. Kama unakubali kuwa was[e]nge ni binadamu, basi utakuwa unakubali pia uenge wao usiwe kigezo cha wao kutostahili kupewa heshima kama binadamu licha ya kutokubalina na mwelekeo wao wa kijinsia. Haki za binadamu ninazozizungumzia hapa ni ustahili wa kutendewa kwa heshima na taadhima kama walivyo watu wengine kwenye jamii yetu.

Ni ujinga kukiuka haki za binadamu kwa visingizio vya maadili au sijui utaratibu au sijui nini tena. Haki za binadamu ni universal na zina apply kwenye jamii yoyote ile ya wanadamu.

Au wewe kwako ma gay sio binadamu?
 
Mimi na tuwaombee kama Muumba hatatusikiliza tuige sheria za jirani zetu Waganda.
Katika pita pita zangu kwenye majamvi mengine, nimegundua baadhi ya kina dada wanashabikia hii tabia. Kuna mmoja wanamwita Bilal(picha hapo chini) wanaelezea jinsi anavyowafurahisha kwenye Kitchen party na Vibao kata na kusema yuko juu.Watanzania tunavyopenda kuiga sita shangaa wakina dada wakianza kuongoza nao shopping kama Kimora Simmons.
Huyu hapo juu, model my foot...mtoto ana mapozi kushinda hata zangu.
View attachment 12524

mzee una hasira tehetehe utaki upuuzi heheheee safi kabisa tuko pamoja,watanzania mmenifurahisha sana kwa jinsi mlivyokemea kwa nguvu zote huu ufirauni,tusilainishwe na sbb za kimagharibi maana wao ndio wa kwanza kuanzisha michezo michafu halafu wanalazimisha ulimwengu ukubaliane nao,bendera fuata upepo ndio watakaoyumbishwa.
twendeni nao mdogomdogo mpaka wajirekebishe
 
hizi haki za binadamu hizi jamani,teteeni tu upuuzi kisa mnawaona wazungu wanachukulia poa,sasa siku mkikuta jizee linaku-molest-ia mwanao wa nusery ndio utazijua vizuri haki za binadamu maana wazungu wao wana aina nyingi za sex wanazopenda na zote ni haki zao za 'kibinadamu' mf. same gender sex,animal sex (kusex na mapunda na mambwa kwao ni haki za binadamu) child sex(kuna wazungu wanavutiwa na vitoto vichanga tu na wengine wanavutiwa kusex na maiti tu na mengi ya ajabu.
siku utakapoambiwa kuwa mwanao anaharisha sbb amekunywa maziwa kutoka kwa ng'ombe aliyelawitiwa usije ukapaniki maana wewe ni mtetea haki za binadamu na wengine tunatetea haki za mashetani.
hata haya maUKIMWI yalianzia huko huko kwa hao mashoga wenu mnaowatetea japo wazungu wanageuzageuza mambo.na bado huu usodoma utatuletea majanga mpaka tukome ole wenu mnaomdharau Mungu kwa kumuona mjinga anapouchukia ushoga.
 
Hoja zingine zina viroja kweli kweli hasa mtu anapofikia kikomo cha upeo wake wa kuelewa na kujenga hoja. Kaaaazi kwer kwer
 
Back
Top Bottom