Sorry, hapo juu nilisahau kuweka neno "dada",ilikuwa isomeke-mtoto ana mapozi kushinda hata DADA zangu.Msije mkaniweka kwenye jinsia tofauti.Huyu hapo juu, model my foot...mtoto ana mapozi kushinda hata zangu.
View attachment 12524
natamani kuwaambiwa 'mshindwe na mlegee' lkn nasita maana tayari 'wao kwisa legea'.
naomba tuwaombee hawa wapendwa watokwe na huo ulegevu na kugangamara tena kiume.
Mimi nasimamia haki za binadamu. Kama unakubali kuwa was[e]nge ni binadamu, basi utakuwa unakubali pia uenge wao usiwe kigezo cha wao kutostahili kupewa heshima kama binadamu licha ya kutokubalina na mwelekeo wao wa kijinsia. Haki za binadamu ninazozizungumzia hapa ni ustahili wa kutendewa kwa heshima na taadhima kama walivyo watu wengine kwenye jamii yetu.
Ni ujinga kukiuka haki za binadamu kwa visingizio vya maadili au sijui utaratibu au sijui nini tena. Haki za binadamu ni universal na zina apply kwenye jamii yoyote ile ya wanadamu.
Au wewe kwako ma gay sio binadamu?