tuwaombeeni...

tuwaombeeni...

39890_143861552307801_100000518720650_340856_3514175_n.jpg

39890_143861615641128_100000518720650_340862_1166388_n.jpg
38985_143861595641130_100000518720650_340860_5657083_n.jpg
natamani kuwaambiwa 'mshindwe na mlegee' lkn nasita maana tayari 'wao kwisa legea'.

naomba tuwaombee hawa wapendwa watokwe na huo ulegevu na kugangamara tena kiume.


Sioni tatizo apo.
hiyo ni kazi kama kazi za kimodel zingine.
Kama wanalipwa kwa kuvaa hayo mavazi, tatizo liko wapi?
Wao hawakubahatika pengine kusoma shule nzuri kama za kwenu au pengine wanakipaji cha kutangaza mavazi, asa wangeiba?

Mbona akina Joti na akina wakuvanga (ze komedi) wanajilegezaga zaidi na hujaweka pics/utube zao humu?

Hayo ni mawazo yako, amalasivyo njoo na pics wakiwa wameshikishwa ukuta ndo tujue pa kuanzia kujadili hii topic.
 
Mimi nasimamia haki za binadamu. Kama unakubali kuwa was[e]nge ni binadamu, basi utakuwa unakubali pia uenge wao usiwe kigezo cha wao kutostahili kupewa heshima kama binadamu licha ya kutokubalina na mwelekeo wao wa kijinsia. Haki za binadamu ninazozizungumzia hapa ni ustahili wa kutendewa kwa heshima na taadhima kama walivyo watu wengine kwenye jamii yetu.

Ni ujinga kukiuka haki za binadamu kwa visingizio vya maadili au sijui utaratibu au sijui nini tena. Haki za binadamu ni universal na zina apply kwenye jamii yoyote ile ya wanadamu.

Au wewe kwako ma gay sio binadamu?


Ngabu,
Magay, Ni binadamu kama mimi na wewe, na wengine wanaweza kuwa ni ndugu na jamaa zetu, Tunapozungumzia Haki za binadamu zinajumuisha mambo mengi sana,Mojawapo ni kutobaguana, na ndiyo maana hatuwabagui. Lakini hatukubali Tabia zao, tunawapinga bila kuwabagua. Unapopingana na mtu haina maana kuwa hana HAKI!,au siyo Binadamu, Hapana.
Katiba ya Jamuhuri ya Muungano inasimamia wazi haki za Msingi za Kila Mtanzania, Lakini Sheria za Tanzania kwa sasa bado zinapinga matendo ya kujamiiana kwa jinsia moja, na ndugu Pia.
Lakini Pia, usisahau kuwa kwa Mtanzania Kuingiliana kinyume cha maumbile ni kinyume na Utamaduni wetu. Inawezekana tuko nyuma ya wakati lakini ukweli ndio huo. Nina wajibu wa kusimamia maadili, kila ninapopata nafasi mahali siachi kusema, na nitasema kwa sababu mambo haya tukiyaacha yatakuja kuaharibu kabisa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom