tuwaombeeni...

tuwaombeeni...

Jamii yetu bado ni homophobic sana. Sielewi kwa nini homosexuals wanakuwa ridiculed hivi wakati wao nao ni binadamu kama wengine.

U-homosexual wao haumaanishi wame cease kuwa binadamu. Ni vizuri kuheshimu haki za binadamu wote hata wale walio tofauti na wengi. Hatuwezi tukawa tunaimba injili za usawa wa fursa na haki huku tukiwatendea vibaya was[e]nge. Ni unafiki huo.

Kama ni haki na usawa basi haki na usawa iwe kwa wote. Kama ni kutendewa na kutenda heshima basi iwe hivyo kwa wote pia hata wenye divergent lifestyles.
 
baba eeh utanisamehe bure maana sitakaa niuone u-homosexual kuwa jambo la kawaida,yaani vitendo hivyo vinavyonitibua mtima hujui tu,acha niwe mnafiki lkn mashoga na wasagaji upande wangu washaji-cease-sha ubinadamu wao wenyewe.imani yangu haikubaliani na hayo mambo na Mungu wangu alichokizwa sana na vitendo hivyo hata akashindwa kuvumilia kiasi cha kuiteketeza miji ya Sodoma na Gomora sasa wewe unataka tuwachekee!!!!.
kwanza nimesema tuwaombee na nikasisitiza kuwa siwachukii bali NACHUKIZWA NA MATENDO YAO hivyo babu weee acha kukurupuka na kuita wenzio eti 'wanafiki',,afu vipi kwani mbona unawatetea sana:confused2:!!!!.
sitakaa niwatetee ng'oooooo..
 
baba eeh utanisamehe bure maana sitakaa niuone u-homosexual kuwa jambo la kawaida,yaani vitendo hivyo vinavyonitibua mtima hujui tu,acha niwe mnafiki lkn mashoga na wasagaji upande wangu washaji-cease-sha ubinadamu wao wenyewe.

Your nescience is frightening!

imani yangu haikubaliani na hayo mambo na Mungu wangu alichokizwa sana na vitendo hivyo hata akashindwa kuvumilia kiasi cha kuiteketeza miji ya Sodoma na Gomora sasa wewe unataka tuwachekee!!!!.

You are spewing hate in the name of religion.

kwanza nimesema tuwaombee na nikasisitiza kuwa siwachukii bali NACHUKIZWA NA MATENDO YAO hivyo babu weee acha kukurupuka na kuita wenzio eti 'wanafiki',,afu vipi kwani mbona unawatetea sana:confused2:!!!!.
sitakaa niwatetee ng'oooooo..

Puhliiiiiz
 
baba eeh utanisamehe bure maana sitakaa niuone u-homosexual kuwa jambo la kawaida,yaani vitendo hivyo vinavyonitibua mtima hujui tu,acha niwe mnafiki lkn mashoga na wasagaji upande wangu washaji-cease-sha ubinadamu wao wenyewe.imani yangu haikubaliani na hayo mambo na Mungu wangu alichokizwa sana na vitendo hivyo hata akashindwa kuvumilia kiasi cha kuiteketeza miji ya Sodoma na Gomora sasa wewe unataka tuwachekee!!!!.
kwanza nimesema tuwaombee na nikasisitiza kuwa siwachukii bali NACHUKIZWA NA MATENDO YAO hivyo babu weee acha kukurupuka na kuita wenzio eti 'wanafiki',,afu vipi kwani mbona unawatetea sana:confused2:!!!!.
sitakaa niwatetee ng'oooooo..

Kuna watu ambao wanazaliwa kuwa heterosexuals, huwezi kuwabadilisha na kama ukitaka kuwabadilisha utakuwa unawaonea. Kuna wengine wamezaliwa Homos, ukitaka kuwabadilisha utawaonea.

Siungi mkono homosexuality, lakini ni lazima tuwaheshimu homos. Kuwa homo sio kucease kuexist kuwa binadamu, na kuwa hetero haina maana kuwa wew ndio binadamu perfect. jaribu kuangalia why are they homos. Kama wanaiga tu mambo ya California basi watakuwa wajinga sana, lakini kama wamezaliwa hivyo, ni binadamu wana haki zao, Acha wasishi dunia yao as long as hawawabugudhi wengine. Nadhani wanamjua Mungu kama wengine wanavyomjua, na huenda wanajua vizuri sana sodoma na gomora, no need to remind them.
 
Uzuri anarudi Zenj kwa boti(angalieni hizo picha vizuri)....hatuwataki huku bara
 
Jamii yetu bado ni homophobic sana. Sielewi kwa nini homosexuals wanakuwa ridiculed hivi wakati wao nao ni binadamu kama wengine.

U-homosexual wao haumaanishi wame cease kuwa binadamu. Ni vizuri kuheshimu haki za binadamu wote hata wale walio tofauti na wengi. Hatuwezi tukawa tunaimba injili za usawa wa fursa na haki huku tukiwatendea vibaya was[e]nge. Ni unafiki huo.

Kama ni haki na usawa basi haki na usawa iwe kwa wote. Kama ni kutendewa na kutenda heshima basi iwe hivyo kwa wote pia hata wenye divergent lifestyles.

:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S-confused1:
 
Kuna watu ambao wanazaliwa kuwa heterosexuals, huwezi kuwabadilisha na kama ukitaka kuwabadilisha utakuwa unawaonea. Kuna wengine wamezaliwa Homos, ukitaka kuwabadilisha utawaonea.

Siungi mkono homosexuality, lakini ni lazima tuwaheshimu homos. Kuwa homo sio kucease kuexist kuwa binadamu, na kuwa hetero haina maana kuwa wew ndio binadamu perfect. jaribu kuangalia why are they homos. Kama wanaiga tu mambo ya California basi watakuwa wajinga sana, lakini kama wamezaliwa hivyo, ni binadamu wana haki zao, Acha wasishi dunia yao as long as hawawabugudhi wengine. Nadhani wanamjua Mungu kama wengine wanavyomjua, na huenda wanajua vizuri sana sodoma na gomora, no need to remind them.

Hebu uliza mtu mzima yeyote wa jamii yako mwenye umri zaidi ya 70 kama yupo....je wakati wa ujana wake aliwahi kuwaona hao heteros an homos wako kule Malangali au Machame au Kiteto? kama ni kazi ya Mungu kama unavyodai je huyo Mungu hakuwepo huko pre 1960s?
 
ila huyo dogo mwenye nywele za gold ni model uwa anaonyesha mavazi kwenye fashion show ni mzanzibari sidhani kama ni shoga nadhani ni mwonekani tu kwenye hizo picha lakini ni model maarufu tu Zenji na mara chache uwa anaonyesha mavazi Dar tusimhukumu bure hapa maana kuna wa-congo wanajichubua na kuvaa vipini mpaka mdomoni (midume) lakini hawajasemwa kisa wacongo ila huyo dogo nadhani si shoga ila sina uhakika

sisi huku kijijini tunajua model ni mwanamke tu. please nipe darasa kumbe kuna model wanaume?? ndiyo maana wanaishia kuwa mashoga
 
Jamii yetu bado ni homophobic sana. Sielewi kwa nini homosexuals wanakuwa ridiculed hivi wakati wao nao ni binadamu kama wengine.

U-homosexual wao haumaanishi wame cease kuwa binadamu. Ni vizuri kuheshimu haki za binadamu wote hata wale walio tofauti na wengi. Hatuwezi tukawa tunaimba injili za usawa wa fursa na haki huku tukiwatendea vibaya was[e]nge. Ni unafiki huo.

Kama ni haki na usawa basi haki na usawa iwe kwa wote. Kama ni kutendewa na kutenda heshima basi iwe hivyo kwa wote pia hata wenye divergent lifestyles.

Ni wewe broda wasema hayo...? may u be forgiven...bure!!!
 
sisi huku kijijini tunajua model ni mwanamke tu. please nipe darasa kumbe kuna model wanaume?? ndiyo maana wanaishia kuwa mashoga

ndio kamanda wangu kuna ma-model wa kiume si unajua tena 'miafrika ndivyo tulivyo' kwa kuiga japo sina uhakika kama model wote wa kiume wa wabongo ni mashoga lkn kuna documentary moja ya marekani ilionesha kuwa model wengi wa kiume marekani ni mashoga,,males models wenyewe ndio waliofichua hiyo siri kuwa 'photoghafers'ndio wanawafundisha hako kamchezo na model anayekataa 'ha-shine' hivyo wakaendelea kudai kwamba walioshine na kupata majina makubwa wametoa tigo kwanza.sasa hapa 'mtu fulani' atakwambia eti 'wamezaliwa hivyo msiomkosoe mungu' wakati wao ndio wanamkosoa Mungu kwa kuruhusu 'kupenyezewa vitu' sehemu zisizofaa.ni kweli hujakosea kuwa wanaishia kuwa mashoga maana mtoto wa kiume unapokubali kuegesha domo lako lipakwe lipstick na lipshine na kuweka minyusi yako itindwe na kupakwa wanja kisa eti model si ndio mwanzo wakuwavutia midume menzio hasa wale 'wanaoota kufanya ng'ono kila siku'.kuiga kutatufikisha pabaya,wazungu wakitetea ushogeri na sisi hao vimbelembele tunaanza kuutetea,utaona sasa hivi na wachezaji wetu wa mpira wa miguu wataanza kuiga kulana madenda kila wakifunga magoli kisa tu si wazungu wameanzisha na 'kina fulani hawataona aibu kutetea'.

hata mtu atumie terminology za kidhungu nisichokielewa bado hatani-convice kuwayakubali haya matendo sanasana nitaishia kumuonea huruma na kusema 'baba msamehe hajui asemalo'

najua sina power yakuutokomeza -uhomosexual lkn kama tutajitahidi kuuongealea in a negative way tunaweza kuokoa roho mbili tatu zilizopotea tayari na zile ambazo zinataka kujaribu.
thank you.
 
Jamii yetu bado ni homophobic sana. Sielewi kwa nini homosexuals wanakuwa ridiculed hivi wakati wao nao ni binadamu kama wengine.

U-homosexual wao haumaanishi wame cease kuwa binadamu. Ni vizuri kuheshimu haki za binadamu wote hata wale walio tofauti na wengi. Hatuwezi tukawa tunaimba injili za usawa wa fursa na haki huku tukiwatendea vibaya was[e]nge. Ni unafiki huo.

Kama ni haki na usawa basi haki na usawa iwe kwa wote. Kama ni kutendewa na kutenda heshima basi iwe hivyo kwa wote pia hata wenye divergent lifestyles.
Ngabu,
Hapa mimi nafikiri issue si ubinadamu, ubinadamu wao unabaki kama kawa, Hapa ni Maadili zaidi, maadili yetu ya Kiafrika toka enzi za babu zetu. Ni kweli kwamba wenzetu wameendelea sana mpaka mambo kama haya wanaona ni ya kawaida, Lakini effect yake ni kubwa sana katika jamii yetu. Kama wanaume watakuwa was[e]nge Tunawezaje kujenga Familia? Zenye maadili ? Na tunajua kuwa familia ndio zinazaa Taifa, Je hili taifa litakuwa la aina gani? Kuzuia mmomonyoko zaidi wa maadili lazima tukemee hadharani kwamba hii tabia siyo nzuri katika jamii!! Kijiko na kiwe kijiko , Tusonge.
 
Maadili? What maadili? Hivi hujui kuwa mambo ambayo ni maadili kwako kwa wengine sio maadili? Wewe umekuwa nani kuanza ku dictate na ku impose yale uyaonayo kuwa maadili yanayofaa kwa wengine? Acheni hizo bana....magay ni binadamu kama wewe na mimi na huo ndio ukweli wa mambo na huwezi kuthibitisha vinginevyo.
 
hata mtu atumie terminology za kidhungu nisichokielewa bado hatani-convice kuwayakubali haya matendo sanasana nitaishia kumuonea huruma na kusema 'baba msamehe hajui asemalo'

No one wants to persuade you to accept their lifestyle. To me it is more about principle; the principle that all human beings are equal and that we all have unalienable rights, that among them are life, liberty, and the pursuit of happiness.

najua sina power yakuutokomeza -uhomosexual lkn kama tutajitahidi kuuongealea in a negative way tunaweza kuokoa roho mbili tatu zilizopotea tayari na zile ambazo zinataka kujaribu.
thank you.
You are entitled to hold whatever opinions you have so long as you don't harm anyone...

And I do understand that some people are stuck in their ways that no matter what they won't change for nothing....you seem to be one of them.
 
Nyinyi hamuelewi kabisa misingi ya haki za binadamu na mmejawa na ubaguzi na chuki ya hali ya juu. Hilo ndio tatizo lenu.

NN homosexuality tanzania ni kosa la jinai,je ni sahihi kusema jamii yetu haikubaliani na tabia na vitendo vya gays??na ndicho wachangiaji wengi humu wanachofanya[kukemea homosexuality kwasababu jamii yetu i.e tznians hairuhusu]
 
Really? Ni kosa la jinai? Kifungu gani cha sheria kinachosema hivyo because that is too draconian in my book. And how is it enforced? Do they snoop into people's homes to find out if someone is gay or what? What is the punishment?

This is a very interesting piece of news to me....enlighten me, please..
 
Back
Top Bottom