Nikiwafananisha na waandishi wa kainchi kadogo Al-jazeera, Ulaya na Marekani nashindindwa kusoma magazeti, kusikiliza redio na kuangalia TV maana naona makapi ya taarifa mbalimbali. Hadi hurumaAcha waisome namba!
Walisema hawataandika kihusu bashite lkn wakaanza kuandika bila kutujuza.
Tunaiombea JF na member wake tu. Wengine gongweni tyu!
Nyongeza ya hayo,unajuwa kuwa waandishi wa habari,huwa hawalipwi?Mbali na sababu ulizotaja, uanahabari Tanzania ni kazi ngumu kutokana na Sheria zinazowazuia kuandika mawazo yao, bali matakwa ya dola. Haruhusiwi kuandika habari yoyote hasi bila idhini ya mhusika. Invesgative journalism Tanzania ni marufuku. Kifupi wamezibwa midomo, wamenyang'anywa kalamu.
Mtu anayetunga sheria anaanzia kwa kuzisoma tabia za wanaotungiwa hiyo sheria, je, wengi Wana elimu gani, je Wana umoja kiasi gani, je, Wana njaa kiasi gani, je, wako violent kiasi gani, je wanalipuka kiasi gani, na je watafanya Nini kabla ya kuitunga hiyo sheria.Mbali na sababu ulizotaja, uanahabari Tanzania ni kazi ngumu kutokana na Sheria zinazowazuia kuandika mawazo yao, bali matakwa ya dola. Haruhusiwi kuandika habari yoyote hasi bila idhini ya mhusika. Invesgative journalism Tanzania ni marufuku. Kifupi wamezibwa midomo, wamenyang'anywa kalamu.
Malezi pia yamechangia, do'nts nyingi na viboko nyumbani, shuleni na mitaani inaweza kuwa inachangia Sana. Ni waoga hata wa vivuli vyao, Ni waandishi ambao hawezi kwenda mstari wa mbele kuripoti taarifa na mwenendo wa Vita.Hawa watu sitawaonea huruma katu. Ni wapumbavu sana
Juzi walijazana Mwanza kuandika habari za MV. Magufuli sijui. Aibu sana hiiMalezi pia yamechangia, do'nts nyingi na viboko nyumbani, shuleni na mitaani inaweza kuwa inachangia Sana. Ni waoga hata wa vivuli vyao, Ni waandishi ambao hawezi kwenda mstari wa mbele kuripoti taarifa na mwenendo wa Vita.
Ni sawa kuandika habari za mv maana pia Ni habari, lakini mwandishi wa habari anatakiwa kushabikia zaidi zile habari ambazo zina tija kwa taifa lote. Mfano, mtu wa Nanjilinji habari ya MV Mwanza ataiona sio habari kwake, hivyo haifai kukaa kwenye front page ya chombo Cha habari, sio cross cutting issue.Juzi walijazana Mwanza kuandika habari za MV. Magufuli sijui. Aibu sana hii
Yaani kuna gazeti moja hilo wiki nzima linaichambua hiyo meli.Ni sawa kuandika habari za mv maana pia Ni habari, lakini mwandishi wa habari anatakiwa kushabikia zaidi zile habari ambazo zina tija kwa taifa lote. Mfano, mtu wa Nanjilinji habari ya MV Mwanza ataiona sio habari kwake, hivyo haifai kukaa kwenye front page ya chombo Cha habari, sio cross cutting issue.
Nyongeza ya hayo,unajuwa kuwa waandishi wa habari,huwa hawalipwi?
Umemaliza kila kitu. Ukiona mtu kakudharau jua we mwenyewe ndio uliompa huo mwanyaMtu anayetunga sheria anaanzia kwa kuzisoma tabia za wanaotungiwa hiyo sheria, je, wengi Wana elimu gani, je Wana umoja kiasi gani, je, Wana njaa kiasi gani, je, wako violent kiasi gani, je wanalipuka kiasi gani, na je watafanya Nini kabla ya kuitunga hiyo sheria.
Mtu wa Korogwe hiyo meli sio habari kwake usijisumbue kuiandika, haiwezi kumbadilisha chochote, yeye anataka kusikia mabomba ya maji yatatandazwa lini mtaani kwake.Yaani kuna gazeti moja hilo wiki nzima linaichambua hiyo meli.
Very shit!
Nahisi wameishiwa propaganda
Mwandishi wa habari anaekaa mkao wa kuteuliwateuliwa kwenye siasa hawezi kufanya kazi za mhimili wa nne (4) wa dola. Mwandishi habari wa Kenya Ni zaidi Sana ya mwandishi wetu.Wadau msisahau njaa, pamoja na tasnia hii kukumbwa na janga la sheria kandamizi ila njaa inakuwa kali sana.
Ukimuona mwandishi please mpe tip asee, siyo lazima kuwepo na story, kingine hawa jamaa zangu msiwatenge kwenye interviews zenu au conference report unapofika muda wa kusign😁!.
Mtu wa Korogwe hiyo meli sio habari kwake usijisumbue kuiandika, haiwezi kumbadilisha chochote, yeye anataka kusikia mabomba ya maji yatatandazwa lini mtaani kwake.