Tuwaonee huruma waandishi wetu nchini

Mambo ya hovyo sana. Kila mtu anasaka kuteuliwa. Nchi hii naishi kwakuwa tu wazazi wangu walizaliwa Bongo
Mwandishi, Mhadhiri, Askari, mtafiti,mfanyakazi....anashindwa kusema, kuandika, kufundisha, kutenda Yale yampasayo kwa kutegeshea cheo na uteuzi na kuacha mambo aliyosomea yakipepea nusu mlingoti
 
Pascal alikuwa anakaribia viwango vya Hard TALK na Opera
 
Wanalipwa kupitia mauzo ya magazeti na tv yachapishayo au kuonesha habari zao, lakini hayauziki na tv hazirushi makapi.
Kama utafuatilia vizuri watu siku hizi hawanunui magazeti Wala kuangalia na kusikiliza taarifa ya habari. Wengi wanaangalia tamthilia na habari za you tube, WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter basi
 
Yaani kuna gazeti moja hilo wiki nzima linaichambua hiyo meli.
Very shit!
Nahisi wameishiwa propaganda
Itanibidi nipimwe akili kufurahia flyovers zikizojengwa dar es Salaam wakati huku kwetu Kibakwe hakuna hata barabara ya changarawe.
 
Kama utafuatilia vizuri watu siku hizi hawanunui magazeti Wala kuangalia na kusikiliza taarifa ya habari. Wengi wanaangalia tamthilia na habari za you tube, WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter basi
Nitofautiane nawe kidogo. Taarifa ya habari wapo wanaoangalia kwenye channel ambazo ushabiki si wa kutisha. Binafsi taarifa nyingi ni mapambio, wengi hasa wanaume, hukwepa kuangalia. Tamthilia zaidi ni kwa akina mama wa majumbani.
 
Wanawake hawapigi kura? Channels zipi Mkuu nami nikaangalie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…