Rungwe88
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 353
- 722
- Thread starter
- #101
Siasa zimekuvuruga hadi unachoandika hakieleweki.Ili hayo maslai ya wengi yawepo ni lazima kuwe na maslai binafsi. Binadamu tuna utofauti baina ya mtu mmoja na mwingine. Kuna mwingine yeye maslai ya wengi ni muhimu kwake, na mwingine ubinafsi ni muhimu kwake vilevile
Inasikitisha sana..!!