Tuwape pongezi Platinum Member wa Jamii Forum kwa kilichotokea

Tuwape pongezi Platinum Member wa Jamii Forum kwa kilichotokea

Tanganyika ile tuliyoijua tuliipoteza October 29, wengine hawawezi kuelewa kwa sasa ila baada ya miaka 2 mbele sote tutakuwepo hapa kama mashahidi kuona madhara ya visasi vya kisiasa kutokana na kikundi kidogo cha watu kulazimisha kutawala wakati hawatakiwi.
Nakubaliana na wewe 100%, wanasiasa Sasa wanafanya propaganda kupumbaza watanzania ili wasahau kwamba kilichotokea kuhusu mauaji ya watanzania sio kitu.
Ila ulichoandika ndio uhalisia wa kitakachotokea nchini baada ya mda mfupi ujao
 
Sahihi kabisa Kuna mmoja anajiita smart98 huyo ni kama sigara Kali, yana anawashwa pande zote mbili.
Huyo jamaa ni kama panya yani anang'ata na kupuliza.
Huyo Mahondaw wake atakua anamjua vizuri
Jamani mbona shemeji Smart hana shida na siku hizi anaandika sentence ndefu ndefu, kuna mmoja mjinga mjinga ID yake ni ya zamani nikiikumbuka i’ll bring it people’s attention.
 
Na mimi mnipigie kura sasa ili niwe Platinum Member. Umri unazidi kwenda! Nimechoka kuwa Jamii Expert Member.
Kwani kuwa Platinum Member Kuna kupigiwa kura?
Binafsi nataka kujua faida yakua Platinum Member pia level inayofata baada ya Platinum Member?
 
Jamani mbona shemeji Smart hana shida na siku hizi anaandika sentence ndefu ndefu, kuna mmoja mjinga mjinga ID yake ni ya zamani nikiikumbuka i’ll bring it people’s attention.
Huyo shemeji Yako ni panya wa usiku.
Anang'ata na kupuliza
 
Huyo namheshimu sababu ya umri mkubwa tu ila hana msimamo.
Uongozi wa kifisadi anatamani na harakati za ukombozi anatamani.
Mtu wa namna hiyo tumuitaje?
Kila mtu yupo hapa sababu ya maslai binafsi, kila mtu anaamini katika upande wake ambao huo upande, mtu mwingine hauwamini na anaona hauko sawa
 
Kila mtu yupo hapa sababu ya maslai binafsi, kila mtu anaamini katika upande wake ambao huo upande, mtu mwingine hauwamini na anaona hauko sawa
Wengine tupo hapa kwa maslahi ya Taifa, hatuna vyama Wala itikadi za kisiasa, kidini, kikabila n.k ila tunapenda nchi yetu isiwe na utekaji, mauaji, ufisadi n.k
Je hayo pia ni maslahi binafsi?
 
"Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". - Enzi za Invincible ndio Moderator humu. 😊

"JF, The Home of Great Thinkers"
"JF, Where we dare to talk openly"
Ni invisible ndiye aliyekuwa na kauli hiyo, siyo invincible.
 
Wengine tupo hapa kwa maslahi ya Taifa, hatuna vyama Wala itikadi za kisiasa, kidini, kikabila n.k ila tunapenda nchi yetu isiwe na utekaji, mauaji, ufisadi n.k
Je hayo pia ni maslahi binafsi?
Ili hayo maslai ya wengi yawepo ni lazima kuwe na maslai binafsi. Binadamu tuna utofauti baina ya mtu mmoja na mwingine. Kuna mwingine yeye maslai ya wengi ni muhimu kwake, na mwingine ubinafsi ni muhimu kwake vilevile
 
Back
Top Bottom