Tuwape pongezi Platinum Member wa Jamii Forum kwa kilichotokea

Tuwape pongezi Platinum Member wa Jamii Forum kwa kilichotokea

So far Platinum members kama sio mmoja basi wawili ndio takataka.

Wengi ni watu timamu na wana akili njema.

How on earth mtu anatetea mauaji? Kitu cha ajabu kukiona duniani ni utetezi wa mauaji.
Sahihi kabisa Kuna mmoja anajiita smart98 huyo ni kama sigara Kali, yana anawashwa pande zote mbili.
Huyo jamaa ni kama panya yani anang'ata na kupuliza.
Huyo Mahondaw wake atakua anamjua vizuri
 
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea,

Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na kuendelea nimeona ID za platinum member nyingi zikitoa michango hapa JF kuliko wakati wowote ule tangu nimeanza kutumia JF,
Nimejua kwamba hawa watu wengi wao walijiunga JF miaka mingi iliyopita na wanauzoefu mkubwa na hili jukwaa la JF na inawezekana wengi wao wapo nje ya nchi.

Kwa hayo machache ni kwamba hawa jamaa wanauzalendo wa Hali ya juu na nchi hii sababu wamekua wakitoa michango chanya kupinga na kulaani mauaji ya maelfu ya watanzania na mengineo mengi maovu yaliyofanywa na utawala haramu uliopo Sasa nchini.

Najua watanzania sote kwa pamoja tumeungana hapa JF kulaani na kupinga kwa dhati mauaji yaliyofanyika kwa ndugu zetu dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia ila na hizi jitihada zisiishe bali tuendelee kupinga hayo maovu kwa kadiri ya akili na nguvu zetu zote ila kwa Leo niliona niwape pongezi zao Platinum member tulionao hapa JF.
Wachache ninaowakumbuka ni kama
Kiranga
Nyani Ngabu
Mshana Jr
Mzee Mwanakijiji
Salary Slip
Na Platinum Member wengineo ambao sijawataja hakika mnastahili pongezi kwa uzalendo wenu wa Hali ya juu, ninyi ni tunu ya JF na Tanzania kwa ujumla tuendelee kuwapambania watanzania.
Mapambano yanaendelea
*Na Platinum Member wengineo ambao sijawataja hakika mnastahili pongezi kwa uzalendo wenu wa Hali ya juu, ninyi ni tunu ya JF na Tanzania kwa ujumla tuendelee kuwapambania watanzania.
Mapambano yanaendelea* 💪🏿🙏🏿📌🔨
 
Nilikusahau ndugu, ila natambua sana michango yenu ninyi Platinum Member hapa JF.
Mmekua kama vioo vya vijana hapa JF
Ni vigumu sana kuamini kwamba watu wapuuzi puuzi kama akina Samia na Genge lake wanaweza kuja kuivuruga nchi hii iliyokuwa na matumaini makubwa sana kati ya mataifa.

Naamini Tanzania itashinda tu; hayo ndiyo matumaini nisiyoweza kuyakatia tamaa kwa waTanzania wote juu ya hali ya taifa lao.
Tutaungana pamoja tena kulikomboa taifa letu.
 
Heshima kwako ndugu Kalamu .
Michango ya aina Yako ndio inawapa muelekeo vijana hapa JF na Tanzania kwa ujumla.
Tuendelee kupambania nchi yetu bila kuchoka toka mikononi mwa wauaji, watekaji, mafisadi wakina samia, kikwete na genge lao lote la kishetani
 
Lengo la JamiiForums toka mwanzo lilikuwa ni kupashana habari bila kikwazo, kuelimishana, kutoa maoni kwa uwazi, kufichua uovu, na kukosoa jamii na kikubwa ni kuileta jamii pamoja kushare mawazo bila woga kwa maendeleo ya nchi yetu.

Hapo ndipo dhana ya "The home of great thinkers" ilipoasisiwa.

Narudi kwenye mada: PM members wengi ni wakongwe, watu ambao wanaiishi misingi ya jukwaa hili na kulienzi.

Hili jukwaa ni urithi " Heritage" tunapaswa kulinda dhima na taswira ya jukwaaa hili kwa wivu mkubwa sana, huku tukihakikisha tunarithisha jukwaa hili kwa vijana.

Tumewahi kuwa na misemo/kaulimbiu zilizokuwa zinalitambulisha vyema jukwaa hili pendwa.

"Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". - Enzi za Invincible ndio Moderator humu. 😊

"JF, The Home of Great Thinkers"
"JF, Where we dare to talk openly"
 
Lengo la JamiiForums toka mwanzo lilikuwa ni kupashana habari bila kikwazo, kuelimishana, kutoa maoni kwa uwazi, kufichua uovu, na kukosoa jamii na kikubwa ni kuileta jamii pamoja kushare mawazo bila woga kwa maendeleo ya nchi yetu. Hapo ndipo dhana ya "The home of great thinkers" ilipoasisiwa.

Narudi kwenye mada: PM members wengi ni wakongwe, watu ambao wanaiishi misingi ya jukwaa hili na kulienzi. Hili jukwaa ni urithi " Heritage" tunapaswa kulinda dhima yake na taswira kwa wivu mkubwa sana huku tukihakikisha tunarithisha jukwaa hili kwa vijana.
Tumewahi kuwa na misemo/kaulimbiu zilizokuwa zinalitambulosha vyema jukwaa hili.

"Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". - Enzi za Invincible ndio Moderator humu. 😊

"JF, The Home of Great Thinkers"
"JF, Where we dare to talk openly"
Heshima kwako ndugu Chivundu hakika umeonesha maana halisi yakua Platinum Member.
Hili andiko lako lilipaswa kua Uzi unaojitegemea sababu lina miongozo mikubwa
 
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea,

Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na kuendelea nimeona ID za platinum member nyingi zikitoa michango hapa JF kuliko wakati wowote ule tangu nimeanza kutumia JF,
Nimejua kwamba hawa watu wengi wao walijiunga JF miaka mingi iliyopita na wanauzoefu mkubwa na hili jukwaa la JF na inawezekana wengi wao wapo nje ya nchi.

Kwa hayo machache ni kwamba hawa jamaa wanauzalendo wa Hali ya juu na nchi hii sababu wamekua wakitoa michango chanya kupinga na kulaani mauaji ya maelfu ya watanzania na mengineo mengi maovu yaliyofanywa na utawala haramu uliopo Sasa nchini.

Najua watanzania sote kwa pamoja tumeungana hapa JF kulaani na kupinga kwa dhati mauaji yaliyofanyika kwa ndugu zetu dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia ila na hizi jitihada zisiishe bali tuendelee kupinga hayo maovu kwa kadiri ya akili na nguvu zetu zote ila kwa Leo niliona niwape pongezi zao Platinum member tulionao hapa JF.
Wachache ninaowakumbuka ni kama
Kiranga
Nyani Ngabu
Mshana Jr
Mzee Mwanakijiji
Salary Slip
Na Platinum Member wengineo ambao sijawataja hakika mnastahili pongezi kwa uzalendo wenu wa Hali ya juu, ninyi ni tunu ya JF na Tanzania kwa ujumla tuendelee kuwapambania watanzania.
Mapambano yanaendelea
kupongeza watoa porojo ni ulofa na kitu useless kabisa gentleman :NoGodNo:
 
Heshima kwako ndugu Kalamu .
Michango ya aina Yako ndio inawapa muelekeo vijana hapa JF na Tanzania kwa ujumla.
Tuendelee kupambania nchi yetu bila kuchoka toka mikononi mwa wauaji, watekaji, mafisadi wakina samia, kikwete na genge lao lote la kishetani
MTanzania ataanzia wapi kuikatia tamaa nchi nzuri hii.

Tutaendelea kuchangia chochote kiwezekanacho nchi yetu irudi katika mstari sahihi.
 
cheki hizi kejeli
Screenshot_20251220-190036~2.jpg
 
Back
Top Bottom