Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Kusema umri wao miaka 40 nakataa wengine wapo chini ya hapo
ugomvi wenu hatuingili hivi Popoma😀 sio patnium memberKipenzi Changu unaitwa huku.
Mkuu ngoja nimwite huyu ndugu yangu tajiri wa Kigamboni atakuja kutoa maelezo ya uhakika zaidi Vincenzo JrKuna kitu ni kama unaficha hivi ndugu The Icebreaker dadavua faida zakua Platinum Member hapa JF ili nasi tupambane kupata.
Pia ukishakua Platinum Member level inayofata ni ipi?
Usinitafute ubaya na watu ila jua ivyoKama yupi unahisi yupo chini ya miaka 40?
Mkuu Sina ugomvi na platinum member yeyote maana wengi wao wanjiheshimu na kuwaheshimu wengine.ugomvi wenu hatuingili hivi Popoma😀 sio patnium member
nonsenseMkuu Sina ugomvi na platinum member yeyote maana wengi wao wanjiheshimu na kuwaheshimu wengine.
Ni jambo baya sana JF kuwa na members kama popoma, Lucas Mwashambwa Tlaatlaah na wengine wa mithili yao.

Kumbe ulikuwa unafuatilia matukio kwa ukaribu 😂😂.nonsense![]()
ndio,Kumbe ulikuwa unafuatilia matukio kwa ukaribu 😂😂.

Sawa ndugu The Icebreaker nitashukuru sana nikipata huo ufafanuziMkuu ngoja nimwite huyu ndugu yangu tajiri wa Kigamboni atakuja kutoa maelezo ya uhakika zaidi Vincenzo Jr
Hongera,ndio,
nipo nafuatilia porojo zenu za kujifariji kijingajinga kwa umakini na ukaribu zaidi![]()