Tuwapuuze CHADEMA na suala la Katiba mpya, wana ajenda ya siri

We mbuzi katiba mpya sio hisani ya Ccm kwa Chadema,bali ni matakwa ya wananchi walio wengi,, Pumbavuuu mataga wewe
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Na wananchi wengine ambao hata UKAWA hawamo nao unawaweka wapi?
 
Reactions: Qwy
Tuwapuuze CCM kwa vile ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Mavi matupu
 
Sijakataa mabadiliko ya CHADEMA.. nimekataa kinachowafanya CHADEMA watake katiba mpya. Wana nia ovu.
Katiba mpya ikipatikana watakuwaje na Nia ovu? Weka hapa tuijadili isije ikawa chuki zako binafsi
 
Kivipi waliharibu? Wao walikuwa wengi bungeni? Kwa hyo walitoka na akidi?
 
Katiba mpya ikipatikana watakuwaje na Nia ovu? Weka hapa tuijadili isije ikawa chuki zako binafsi

Kazi kweli kweli. Madhara halisi ya awamu ile:

 
Ndugu wewe umeandika vyema. Kama umesoma vizuri nimesema kuna mifano mingi sana ya kuonyesha mapungufu ya katiba na mimi nilitaja mfano tu wa wabunge. Ninachokataa ni nia ya CHADEMA kubadili katiba kwa nia tu ya chama chao kushika madaraka na kuwa na serikali 3 zitakazoongeza mzigo kwa walipa kodi. Mambo yanayopiganiwa na CHADEMA sio ya kumnufaisha mwananchi.
 
Mtu akiwashwa mfereji wake akunwe kwa kutumia bunzi la mahindi.Mleta uzi akunwe kwa mtindo wa kusuguliwa.😝😝😝😝
 
Hii ni moja ya Uzi takataka wa kufungua wiki!
Hujui na Wala hukiamini ulichokileta hapa! Katiba ya nchi siyo ya chama.
Usichokijua ni kuwa katiba ni Nuru ya kuwaongoza wananchi wote bila kujali itikadi zao. Wewe endelea kusota kwa kusubiria teuzi!
 

#1. Nimekuorodheshea baadhi ya mapungufu mazito yaliyoko kwenye katiba iliyopo. Ninaamini unakubaliana nami kuwa ni hatari sana kuiacha katiba ya nchi katika hali iliyopo sasa.

#2. Maoni ya serikali 3 ni sehemu ya mahitajio ya baadhi ya wananchi ambao pia hawawezi kupuuzwa. Utakuwa umesikia ukakasi wa uwepo wa Mawaziri na waajiriwa toka Zanzibar katika wizara za JMT ambazo pia zipo SMZ. Mfano Elimu, fedha, afya nk.

Haya yanastahili ufumbuzi wa kikatiba wala si kufunikwa. Wengine wanadhani serikali 3 zitatanzua nyingi ya kero kama hizi. Majadiliano, maridhiano na kura za maoni hayajaacha kuakisi mahitajio ya watu.

#3. Nia ya Chadema kushika madaraka ni halali na ipo kwa mujibu wa katiba iliyopo. Tatizo ni kuwa katiba hii inawanyima vyama vingine wakiwamo Chadema haki hii tena kwa mlango wa nyuma.

Katiba iliyopo haiwapi haki sawa vyama vingine kushindana na CCM katika maeneo mengi. Mfano tume ya uchaguzi si huru, watendaji wakuu walioko madarakani hawahojiwi wala kuwajibishwa kwa lolote kwa mujibu wa katiba, wakati upinzani wao wakiwa ni wahanga wa moja kwa moja wa mamlaka.

Bado huoni kuwa Chadema nao kama wananchi wa nchi hii wanayo haki ya kudai usawa na kwa hilo katiba mpya ndilo jukwaa muafaka zaidi?
 
Reactions: Qwy
Kwel ww ni nguchiro
 
Mojawapo ya ushauri wa kipuuzi kuwahi kuwekwa hapa JF!
Ndugu Mshana kabla ya kuona huu ni upuuzi jikumbushe kwamba Rais wa JMT ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM ndiye huteua wajumbe wa kukusanya maoni kuhusu katiba mpya pia Mwenyekiti wa CCM kwa kushirikiana na Rais wa SMZ ambaye nae ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM ndio huteua wabunge wa bunge la katiba. Katiba ya Tanzania hadi muda huu itabadilishwa CCM ikiridhia. Au endapo kutatokea mpasuko ndani ya CCM. Na kamwe harakati za CHADEMA ni kujifurahisha tu.
 
Katiba mpya itamsaidia hata mtoto na mjukuu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…