Tuwapuuze CHADEMA na suala la Katiba mpya, wana ajenda ya siri

Kwa maoni yangu na dhana naona kama seif alikula dili na mbowe kusaidia kuvunja muungano kwa chadema kudai katiba mpya ya serikali tatu. Seif alijua chini ya serikali tatu tanganyika itakua na rais wake kwa sababu isingekubali zanzibar wawe na rais halafu tanganyika haina rais. Walijua serikali ya muungano yenye madaraka madogo kwa washirika ingekua dhaifu na kuiangusha ingehitaji kazi ndogo tu. Ingehitaji zanzibar kuanzisha ukorofi kwenye muungano na tanganyika yenye rais 'yeltsin' wake ingekua rahisi tu kumwacha rais wa jamhuri 'gobachev' bila nchi ya kuongoza. Kwa waelewa wataelewa kwa nini wapinzani wakiongozwa na chadema walitoka kwenye bunge la katiba mara baada ya kudhihirika walichokua wanatafuta kimekosekana..yaani serikali tatu lengo likiwa hatimae kuvunja jamhuri ya muungano wa tanzania.
 
Sijui tuchague lipi mara watanzania wengi hawajui kusoma kwaiyo hawaielewi katiba iliyopo mara ooh inatakiwa ifanyiwe malekebisho kuwa na mbunge wa kujua kusoma na kuandika imepitwa na wakati watanzania wengi wamesoma mkuu tuchague lipi?
 
Mimi sio Chadema bali ni ccm, lakini katiba mpya ni muhimu na tunaomba ipitishwe... tatizo wengi wenu mpo kishabiki na chuki, wala hamjui nini maana ya katiba.

Mungu ajaalie katiba mpya ipitishwe!
 
Mimi sio Chadema bali ni ccm, lakini katiba mpya ni muhimu na tunaomba ipitishwe... tatizo wengi wenu mpo kishabiki na chuki, wala hamjui nini maana ya katiba.

Mungu ajaalie katiba mpya ipitishwe!
Wao wanadhani katiba ni kwa ajili ya chadema na upinzani, ccm wajitaidi kuwanoa makada wao hasa uvccm
 
Iangaliwe kwa umakini faida na hasara za muungano ikibidi itolewe elimu kuhusu faida na hasara then kuwe na opinion poll, umeng'ang'ania ya kuwa nia ya CHADEMA ni serikali tatu ili baadaye wauvunje muungano hebu toa ushahidi wa hilo na ufafanue hizo serikali mbili zinakusaidia nini na kama unaogopa gharama za kuendesha serikali tatu basi tuwe na serikali moja ili kupunguza gharama zisizo za lazima.
 
MPUUZI kweli wewe!

Wewe takataka unataka tukariri katiba kwani ndio inatuletea ugali mezani?
 
Case closed. Hii ni point
 
Wewe takataka unataka tukariri katiba kwani ndio inatuletea ugali mezani?
Kikiboxer mbona unashindwa kuficha upuuzi wako? Huoni kama ni vema kwamba angalau mumeo na wazazi wako ndo wabaki kuwa watu wanaofahamu upuuzi wako?
 
Sijui tuchague lipi mara watanzania wengi hawajui kusoma kwaiyo hawaielewi katiba iliyopo mara ooh inatakiwa ifanyiwe malekebisho kuwa na mbunge wa kujua kusoma na kuandika imepitwa na wakati watanzania wengi wamesoma mkuu tuchague lipi?
Ninachopinga ni CHADEMA kuwahadaa wananchi huku wakijua kabisa nia yao ni kujinufaisha viongozi wachache. Tutatoka kwenye mabaya ya CCM na kupambana na ya CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…