Ukishindwa hoja unaleta Qur'an ama kweli afya yako ya akili haipo sawa
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Sina hata idea unamaanisha nn?Tuvumiliane tu.
Mimi kabla ya kusoma nyuzi naangalia muandishi ni nani.maana kuna wengine uwa wanatunga tu stori.japo si kosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma, Qur'an ni kwa walimwengu wote.Ukishindwa hoja unaleta Qur'an ama kweli afya yako ya akili haipo sawa
Nimeku boost uzi wako dada. Ilikuwa una dorora.Hapo umeshaishiwa hoja
Ndio hivyo tena pumba mpaka mapovu! í ½í¸Umeandika pumba na mashudu
Asante kwa maneno ya hekima uliyoyatoaJifunze kupuuzia mambo, ukiona kitu hakiendani na hadhi yko hakiku furahishi jaribu kuachana nachooo, ukisema uanze kuchambua tabia za humuuu utamaliza mwezi ......na hutamaliz kuchambuaaa
Ndiyo maana kuna majukwaa mengiii
Naona unataka kuonyesha kwamba umesoma English course kwa RASI SIMBAGreat minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people.
[emoji23]Asante kwa maneno ya hekima uliyoyatoa
Bi mkubwa salaam aleykum! Nimekumis sana humu! Upo!You can translate if it bothers you.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji125] [emoji125][emoji12] [emoji6]