sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
- Thread starter
- #121
Ukishindwa hoja unaleta Qur'an ama kweli afya yako ya akili haipo sawa
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.