Tuwapuuze watafuta sifa JF

Tuwapuuze watafuta sifa JF

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Ukishindwa hoja unaleta Qur'an ama kweli afya yako ya akili haipo sawa
 
Jifunze kupuuzia mambo, ukiona kitu hakiendani na hadhi yko hakiku furahishi jaribu kuachana nachooo, ukisema uanze kuchambua tabia za humuuu utamaliza mwezi ......na hutamaliz kuchambuaaa

Ndiyo maana kuna majukwaa mengiii
 
Asante kwa maneno ya hekima uliyoyatoa
 
Back
Top Bottom