FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
You can translate if it bothers you.Andika kwa kiswahili ueleweke na wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can translate if it bothers you.Andika kwa kiswahili ueleweke na wengi
Huoni kuwa umeumiza kichwa kuniandika ktk Uzi wako!!![emoji23] [emoji23]Unau VIP gan?
Poa poa ila muhimu ni kuwarekebisha kdgo hawo jamasHii ni jamii pana yenye mchanganyiko wa watu wa aina mbali mbali.....na sote kwa pamoja kulingana na michango ya hao wanajamii ndio tunaifanya jamiiforums iwe pahala pa kuvutia.......
Jamii hii ina majukwaa mbali mbali kulingana na utashi wa mhusika.....ukiona hauendani na maudhui ya jukwaa husika....au hauendani na baadhi ya thread kwa viwango vyake.....ni vyema ukakaa kando....
Msawazo kwenye jamii yoyote hauletwi kwa kupendezeana bali kwa kwa kuvumiliana......
Ingekuwa mambo yawepo kama unavyotaka yawe basi JF kusingekuwa na member au kungekuwa na member wachache.......
PENYE WENGI PANA MENGI.....
Nimekuandika kwa mambo yako hasi unayoyaongea humuHuoni kuwa umeumiza kichwa kuniandika ktk Uzi wako!!![emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Ubora WakoGreat minds discuss ideas, average minds discuss events, small minds discuss people.
Wew sister du wa zamani sio kila kitu lazma uonyeshe kiburi chako nmekuandkkia issue simple sana lakn unaleta kiburi chako
Mim pia lete popconEbungoja niwe msomaji tu
[emoji23] [emoji23] poa mkuuChukua na ubuyu
[emoji23] [emoji23] mkuu umeona demu wako kashoboka nn!!Nimekuandika kwa mambo yako hasi unayoyaongea humu
Ninamkee sina demu kma ww[emoji23] [emoji23] mkuu umeona demu wako kashoboka nn!!
Kuwa Na moyo mgumu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hoja mzee! Mbona unaleta dharau za kitotoBibi tuliza ...maana unaandika pumba na mashudu
Teh Teh Halafu Halafu Mbona Hujawaweka Na Wale Wanawake Hata Hawajulikani Kama WanawakeHana ubora wowote