Tuwapuuze watafuta sifa JF

Tuwapuuze watafuta sifa JF

Hii ni jamii pana yenye mchanganyiko wa watu wa aina mbali mbali.....na sote kwa pamoja kulingana na michango ya hao wanajamii ndio tunaifanya jamiiforums iwe pahala pa kuvutia.......

Jamii hii ina majukwaa mbali mbali kulingana na utashi wa mhusika.....ukiona hauendani na maudhui ya jukwaa husika....au hauendani na baadhi ya thread kwa viwango vyake.....ni vyema ukakaa kando....

Msawazo kwenye jamii yoyote hauletwi kwa kupendezeana bali kwa kwa kuvumiliana......

Ingekuwa mambo yawepo kama unavyotaka yawe basi JF kusingekuwa na member au kungekuwa na member wachache.......


PENYE WENGI PANA MENGI.....
Poa poa ila muhimu ni kuwarekebisha kdgo hawo jamas
 
Back
Top Bottom