Tuwaridhishe; kumbe miwasho yao inakuwa kama ile ya sikio aisee!!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Jamani kumbe hamu ya mwanamke inakuwa sawasawa na muwasho wa sikio........ukiwashwa na sikio cotton butt/nyoya la ndege (kwa sisi wengine) lazima vihusike.

Kama ni hivyo, ni vipi basi mwanamke aliyeachwa na hamu atajizuia kutafuta jihogo la jang'ombe?!!!!!!!

Wanaume tuwaridhishe hawa watu jamani, tumia hata mkono, pua, macho, mbavu, big toe, kilamba mchuzi, nyayo, udangu, kidaka ndongi n.k lakini hakikisha ameridhika. Nimejua hili leo wakati 'napiga chabo' ya kusikiliza (eavesdropping) kikao cha usuluhishi wa wanandoa fulani waliokamatana ugoni, aisee yamemwagwa (yamefunguliwa) mambo kwenye hiko kikao si mchezo. Niliyojifunza sijutii 'kuiba' usikilizaji.

Nawasilisha!
 
Wanaume tuwaridhishe hawa watu jamani, tumia hata mkono, pua, macho, mbavu, big toe, kilamba mchuzi, nyayo, udangu, kidaka ndongi n.k lakini hakikisha ameridhika. Nimejua hili leo wakati 'napiga chabo' ya kusikiliza (eavesdropping) kikao cha usuluhishi wa wanandoa fulani waliokamatana ugoni.............aisee yamemwagwa (yamefunguliwa) mambo kwenye hiko kikao si mchezo. Niliyojifunza sijutii 'kuiba' usikilizaji.

Nawasilisha!
Wanalizikaga basi hawa viumbe [emoji81][emoji81]
 
Jamani kumbe hamu ya mwanamke inakuwa sawasawa na muwasho wa sikio........ukiwashwa na sikio cotton butt/nyoya la ndege (kwa sisi wengine) lazima vihusike.

Kama ni hivyo, ni vipi basi mwanamke aliyeachwa na hamu atajizuia kutafuta jihogo la jang'ombe?!!!!!!!

Wanaume tuwaridhishe hawa watu jamani, tumia hata mkono, pua, macho, mbavu, big toe, kilamba mchuzi, nyayo, udangu, kidaka ndongi n.k lakini hakikisha ameridhika. Nimejua hili leo wakati 'napiga chabo' ya kusikiliza (eavesdropping) kikao cha usuluhishi wa wanandoa fulani waliokamatana ugoni, aisee yamemwagwa (yamefunguliwa) mambo kwenye hiko kikao si mchezo. Niliyojifunza sijutii 'kuiba' usikilizaji.

Nawasilisha!
Kwa hiyo na yenyewe tuijadili?
 
Back
Top Bottom