Jamani kumbe hamu ya mwanamke inakuwa sawasawa na muwasho wa sikio........ukiwashwa na sikio cotton butt/nyoya la ndege (kwa sisi wengine) lazima vihusike.
Kama ni hivyo, ni vipi basi mwanamke aliyeachwa na hamu atajizuia kutafuta jihogo la jang'ombe?!!!!!!!
Wanaume tuwaridhishe hawa watu jamani, tumia hata mkono, pua, macho, mbavu, big toe, kilamba mchuzi, nyayo, udangu, kidaka ndongi n.k lakini hakikisha ameridhika. Nimejua hili leo wakati 'napiga chabo' ya kusikiliza (eavesdropping) kikao cha usuluhishi wa wanandoa fulani waliokamatana ugoni, aisee yamemwagwa (yamefunguliwa) mambo kwenye hiko kikao si mchezo. Niliyojifunza sijutii 'kuiba' usikilizaji.
Nawasilisha!