MESAYA
Member
- Jan 4, 2012
- 55
- 52
Ndugu mtanzania kuna hawa wanafunzi wapatao 48 waliofukuzwa UDSM na kufungiwa Bank Account zao na pia kuondolewa kwenye hosteli za chuo walipokuwa wanaishi, mpaka leo wameshindwa kurudi majumbani kwao kwasababu:
Kutokana na haya wanafunzi hawa wanalazimika kukaa hapa mjini bila kazi, ajira, biashara yoyote na allowance ya aina yoyote, hivyo basi nawasihi wanajamiiforum tuwasaidie vijana hawa ili waweze kumudu maisha ya hapa mjini ukichukulia ukweli kwamba wengi wanatoka kwenye familia masikini. Njia pekee ambayo itawafanyanya vijana hawa waendelee kukaa mjini wakishughulikia mambo yao ni kuwapatia kazi ambayo iawapa angalao kipato cha kuwawezesha kulipa kodi ya pango na chakula. Wengi wao ni mwaka wa tatu na wa pili na pia wapo mwaka wa kwanza. Professional zao ni tofauti ila wapo waalimu, accountants, finance na linguistic. Jamani tukumbuke kundi hili lina wanaume na kina dada ambao kwa kweli wakikosa pesa kidogo wanaweza kujiingiza kwenye maisha hatarishi kwao.
Tumia e.mail hii kuwasilisha mchango wako au nafasi ya kazi: ismail.mesaya@yahoo.com
- Wana kesi inayowakabili mahakamani ambayo ilifunguliwa na jamhuri juu yao kutokana na mgomo wa tarehe 11/11/2011.
- Wanategemea kufungua kesi mahakamani kukishataki chuo kwa hatua iliyochukuliwa juu yao