Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Huyu mtoa post sio wa huku kwetu mkoani maana sisi wanaume wa mkoani hatufuatiliagi mambo ya watu otherwise awe mwanamke
 
Nitete nini wakati umesema sio za jinsia yenu.
Yah maneno hayo ni ya jinsia yenu halafu cha ajabu wanaopiga kelele kuhusu wanaume wa dar ni wanaume wa mikoan dada zao wako kimyaaaa
 
Mm wa mkoani lakini biashara za kutoa uhai wa viumbe vingine sipendi sikia wala kuona japo nyama zake nakula.nmeishi na mama mdogo akajua kwamba mm ni muoga wa kuchinja vitu...basi kwa kukomesha akawa ananipa nichinje kuku kila Siku Mara bata....sasa nikawa sitoki eneo la kuchinja akija nichungulia anakuta nmeshika kuku wala simfanyi chochote....na muda unaenda.. Mara naenda kwa jirani kuomba watoto wenzangu wanisaidie...au namwachia kuku anakimbia....nikawa napewa adhabu ya kuto kula nyama akidhani nitabadilika....wakati wao wanakula nyama mm nikawa nakula mboga za majani wageni wakija anawaambia halagi nyama....hahahaa...hadi nikaondoka nyumbani bado ukinipa saizi nichinje yaani ndio siwezi kabisa....hata kumshika nikijua unataka kumuua...wala simkamati. Ila nyama yake nitakula
 
Yah maneno hayo ni ya jinsia yenu halafu cha ajabu wanaopiga kelele kuhusu wanaume wa dar ni wanaume wa mikoan dada zao wako kimyaaaa
Hivi humu wanawake wa mikoani wamo kweli sijawahi waona wote ni wa huko huko dsm hivyo wacha tu asaidie kusema.
 
Hivi humu wanawake wa mikoani wamo kweli sijawahi waona wote ni wa huko huko dsm hivyo wacha tu awasaidie kusema.
Ha ha ha wanajua uzur wa wanaume wa dar ndio maana hawapig kelele
 
nikiwa dar huwa nawashangaa hawa wanaume wa huko wengi wao wanajihisi watoto wa town lakin hewa tupu!watoto wa arachuga bana ndo wajanja hata tukitia timu huko dar wanatuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…