Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Tuwaseme mpaka wabadilike: Wanaume wa Dar

Yeye ndio mbea mpaka anakaa kwenye mwendokasi kuangalia mtu anachat kwenyr badoo au snapchat
Atatafuta wakumfasiria.Wamezidi umbea hawa wagonga ulimbo,mwanaume utajuaje in details maisha ya mwanaume mwenzie mpaka mambo ya chumbani kama sio ufukunyuku?
 
8. Hawana msaada kwa wanaume wenzao... nilishuhudia mkaka mmoja alidondoka (nadhani sukari ilishuka) walikuwa wanampita kama hawamuoni mpaka mdada mmoja akamnunulia fanta

9. Wanapenda wanawake sijapata ona ... mfano aje memba wa kike anzishe mada 'nimeamka kukojoa' usiku saa nane mpaka asubuhi nyuzi ishajaa kurasa 50.

10. Aombe msaada mwanamke hapa atapewa msaada wa kimataifa mfano kuna memba mmoja wa kike hapa jf alitaka kuanzzisha bandari aisehh nilishangaa watu walishuka point nikashangaa. Omba msaada wewe 'ninunue mashine gani ya kunyeshelea' hutapata jibu.

11. Hawaongei na wanaume wenzao... unashangaa kwenye mwendokasi kila mtu na simu yake alafu bize ukichungulia unakuta yuko badoo, snapchat kweli...

12. Omba msaada sasa mimi niliomba nionyeshwe njia ya posta nikapaone nikaambiwa nitoe buku eti mjini mipango

NITAENDELEA BAADAYE
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti mjini mipango
 
Walugaluga bwana mwanaume anayejiamini hapati muda wa kujadili ushababi wa wanaume wengine.Nyuzi za sampuli hii zinaviashiria vya inferiority complex kwa upande wa waletaji.

-Hali ya hewa ya dar unaijua hizo deodorant na perfumes ndio zinazotusitiri tusinuke vikwapa.
-Mjini kazi zakutumia nguvu hazilipi na mashamba hakuna sasa unalazimishaje watu wawe na mikono iliyokomaa,huku kinachomata ni pesa,na utafutaji wake ni wakutumia akili zaidi na sio nguvu.
-Eti tunapenda shopping,are u serious?,hao unaowasema wewe wenye access ya kwenda kununua vitu kwenye malls na super market on a regular basis ni asilimia chache sana ya wanaume wa huku.huku uswahilini ni kwa mangi tu na gengeni,so umefanya over-generalisation
-Kama umbeya basi nawewe ni mmoja wapo manake hyo story ya lina ndo kwanza naiskia kwako,na wewe ulijuaje kama sio umbea.?
-Kupenda kula vitu laini again hyo ni over generalisation,kwanza chocolate ni snack sio chakula,alafu huwezi mpangia mtu nini ale wakati anatumia gharama zake mwenyewe ni dalili ya ushakunaku.Mnadhani kula ugali kila siku ndo uwanaume eeh?.kinachomata kwenye chakula ni nutritional content,sio ugumu.chakula kinatakiwa kiwe mlo kamili.
Kwakifupi acheni ushamba
Naona unamchamba
 
Wanapenda nyuzi zinazohusi nguvu za kiume... we anzisha uzi huo halafu ucheki viewers!
 
Back
Top Bottom