Walugaluga bwana mwanaume anayejiamini hapati muda wa kujadili ushababi wa wanaume wengine.Nyuzi za sampuli hii zinaviashiria vya inferiority complex kwa upande wa waletaji.
-Hali ya hewa ya dar unaijua hizo deodorant na perfumes ndio zinazotusitiri tusinuke vikwapa.
-Mjini kazi zakutumia nguvu hazilipi na mashamba hakuna sasa unalazimishaje watu wawe na mikono iliyokomaa,huku kinachomata ni pesa,na utafutaji wake ni wakutumia akili zaidi na sio nguvu.
-Eti tunapenda shopping,are u serious?,hao unaowasema wewe wenye access ya kwenda kununua vitu kwenye malls na super market on a regular basis ni asilimia chache sana ya wanaume wa huku.huku uswahilini ni kwa mangi tu na gengeni,so umefanya over-generalisation
-Kama umbeya basi nawewe ni mmoja wapo manake hyo story ya lina ndo kwanza naiskia kwako,na wewe ulijuaje kama sio umbea.?
-Kupenda kula vitu laini again hyo ni over generalisation,kwanza chocolate ni snack sio chakula,alafu huwezi mpangia mtu nini ale wakati anatumia gharama zake mwenyewe ni dalili ya ushakunaku.Mnadhani kula ugali kila siku ndo uwanaume eeh?.kinachomata kwenye chakula ni nutritional content,sio ugumu.chakula kinatakiwa kiwe mlo kamili.
Kwakifupi acheni ushamba