Tuwashike vijana mkono

Tuwashike vijana mkono

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Nilichogundua kuwa, baadhi ya vijana wanaweza kupata mitaji hata kama sio mikubwa sana kama wangekuwa na uhakika wakipata hiyo mitaji wafanyie nini na kiwape faida

Sasa nakaribisha watu hasa wafanya biashara wawasaidie vijana wenye mitaji ya kawaida…

Mfano mtu aseme; Kama kuna kijana/vijana wapo tayari na mtaji wa shs 10mil naweza kuwashika mkono niwa oneshe njia. Ina maana mtu anaweza kutaja aina ya mtaji unaotakiwa kutokana na kazi/Biashara yenyewe ( 2mil, 5mil, 10 mil, 20mil nk). Biashara zinaweza kuwa tofauti tofauti hata kama mazao ya kilimo, Mifugo, mbao nk ila nivizuri anayetaja awe na uzoefu na Biashara husika.

Najua matapeli wanaweza kujipenyeza hapa hivyo yahitaji umakini..

Karibuni….
 
Back
Top Bottom