Uchawi sio mpaka ubebe matunguliHuge budget ila wimbo sasa ptuuuu!
Japo ni shabiki wa dai na ninamkubali ila kwa huu wimbo hapana niwe mkweli tu.
Mkuu ichunguze device yako unayotumia...sound quality ya huu wimbo kama sijaelewa nini kilifanyika au salaam_sk katupia nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichupa kimesimama...napenda pale mondi anapoishusha vocal halafu inakuwa nzito fl hivi daaah alopewa kapewa tu bhana
Big up kwake
Labda angeimba na King Majuto ndio angekuwa kwenye kiwango chakeHuu ushabiki mbaya sana yani mtu ukitoa maoni yako unaonekana mnafiki mwenye kinyongo.
Mi nakubaliana na wewe huu wimbo ni mbaya maana hata ne-yo hayupo katika kiwango chake.
Mkuu haya basi, shemeji yake Diamond a.k.a Petit kadakwa na unga,Hiyo inamfanya kuwa member wa Kampuni? Aisee hicho kichwa chako......................
hehehheheila jamani rnb wa amerca wanaimba[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] ukisikiliza neyo anavoimba utatamani amalizie wimbo wote
Naona majirani mpo [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo wewe ni mchawi?Uchawi sio mpaka ubebe matunguli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]bila kumsahau mkandamizaji
Uhakika huwezi kuupata kwangu Mimi sio msemaji wa serikali mkuuuna uhakika?? au unamuhisi tu