Tuwasindikize wanaoenda kuripoti Polisi kwa Video mpya ya Simba

Tuwasindikize wanaoenda kuripoti Polisi kwa Video mpya ya Simba

Na hiii isipochukua tuzo bet, ntaroga mtu.. nyimbo kubwa na video kali sana
 
Kichupa kimesimama...napenda pale mondi anapoishusha vocal halafu inakuwa nzito fl hivi daaah alopewa kapewa tu bhana
Big up kwake
 
Huge budget ila wimbo sasa ptuuuu!

Japo ni shabiki wa dai na ninamkubali ila kwa huu wimbo hapana niwe mkweli tu.
Uchawi sio mpaka ubebe matunguli
 
Huu ushabiki mbaya sana yani mtu ukitoa maoni yako unaonekana mnafiki mwenye kinyongo.
Mi nakubaliana na wewe huu wimbo ni mbaya maana hata ne-yo hayupo katika kiwango chake.
Labda angeimba na King Majuto ndio angekuwa kwenye kiwango chake
 
Hiyo inamfanya kuwa member wa Kampuni? Aisee hicho kichwa chako......................
Mkuu haya basi, shemeji yake Diamond a.k.a Petit kadakwa na unga,

Pia Dj wa WCB Rommy Jones naye kakamatwa na unga.
 
"Diamond" itika nikwambie kitu.

Unapoona ngoma inavuma sanaa jua kupasuka kuko karibu hebu jikite zaidi kuwamba vizuri ngoma yako ili isipasuke,ila hongera sana.
 
Nyandu toz ,young dee
Hawatwkiwi kuachwa hata kwa dawa
 
Demu wa zamani wa mondi anahojiwa, dj wake anahojiwa na shemegi yupo ndani hehehe mondi ajiandae kuhojiwa
 
Back
Top Bottom