Tuwasindikize wanaoenda kuripoti Polisi kwa Video mpya ya Simba

ni kweli wengi sana wanalaumu kwenye page yake mlolongo umekuwa mrefu
 
For the first time Diamond kachemsha. Nyimbo ni kawaida saaana yaani sana sijategemea
 
Sio kwa roho mbaya hiyo mkuu..!
Yaani kama unakula nyama za watu, vilee...!
Umewahi kula hizo nyama kiasi ujue walaji wana roho gani?

Fuatilia michango yangu humu ni shabiki haswaa wa nyimbo za dai ila kwa huu nimesema hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…