Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora nibaki na masebene yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora nibaki na masebene yangu
Neyo hawezi kukubali video copy mutatis mutandis kama ile ya Kokoro.Nikawa nasubiri anko ulete vipisi vya video vilivyokopiwa kama ulivyofanya ile ya kokoro........naona unatabasamu tu
ni kweli wengi sana wanalaumu kwenye page yake mlolongo umekuwa mrefuBaada ya Diamond kusaini mkataba na record label ya Universal Music Group (UMG), baadhi ya mambo yameshaanza kubadilika, na baadhi ya mashabiki, hususan wale wa Tanzania hawana furaha.
Of course, kuna mjadala mwingi kuhusiana na ‘kusainishwa kwake’ hasa kwasababu aliwahi kudai kuwa hawezi kuwa chini ya label, labda kama itakuwa ni partnership.
Hata hivyo kwenye mahojiano yake na Clouds FM, Novemba mwaka jana, Diamond alisema Universal Music Group walitoa dola milioni 1 (takriban shilingi bilioni 2.2 za Tanzania) kumsainisha mkataba wa kusambaza nyimbo za wasanii wa label ya Diamond Platnumz, WCB. Naye meneja wake, Sallam aliiambia Bongo5 kuwa mkataba huo ulisainiwa tangu July mwaka jana, lakini tangazo rasmi limetolewa, Alhamis hii, Feb 2.
Kwakuwa sasa UMG imechukua usukani rasmi kwa kusambaza nyimbo za Diamond, mashabiki wake wanapaswa kutambua kuwa, baadhi ya mambo yatabadilika. Kwa sasa nyimbo zake zitakuwa na mlolongo mrefu kutoka na sio kama zamani ‘click link kwenye bio kuona video yangu Youtube.’ Mfano sasa, Marry You aliyomshirikisha Ne-Yo, ilianza kwa kuchezwa Trace TV, ambayo tunajua kuwa inapatikana DSTV pekee, hiyo ina maana kuwa hadi sasa ni Watanzania wachache wamekwishaiona.
Kwasababu lengo la UMG ni kumpeleka Diamond mbali zaidi kimataifa, Marry You unakuwa wimbo wake wa kwanza kuwekwa kwenye platform za kustream muziki kwa kulipia, ambako shabiki wa kawaida wa Masasi au Njombe, nyingi hawajawahi kuzisikia, lakini yule wa Stockholm, Sweden ndio maeneo yao ya kujidai, tayari anaufurahia wimbo huo.
Bila shaka, lengo la UMG sasa ni kumpatia Diamond mashabiki wapya wa kimataifa kumuongezea wigo wa kupata fedha za kigeni na hivyo kukuza mapato yake ambayo yataisaidia pia UMG kurudisha gharama zake za uwekezaji kwa kumsainisha, sababu hii ni biashara, sio charity. Kwa mtazamo huo, kipaumbele cha UMG kwa kazi za Diamond, sasa kitakuwa si Tanzania tu, bali kimataifa zaidi, huo ni ukweli ambao mashabiki wanapaswa kuutambua.
diamond anajua sana kutuchapa fimbo.. naona mitaa tu mara bevery hills, mara Hollywood ...
hii timu mziki mzuri lazima wanyweee tu
Anasema eti ana mashamba na anamiliki mgodi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkandamizaji nae zamu yake itafika niliwahi kumsikia somewhere
Mgodi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] waanze na huyo maana simuelewi elewi kabisa ingawa anajificha kwenye kichaka cha kilimo na uchungaji wa kondooAnasema eti ana mashamba na anamiliki mgodi
Sio kwa roho mbaya hiyo mkuu..!Kwahiyo wewe ni mchawi?
Unachapwa fimbo na Diamond???
Kwakweli..yani baada ya neyo diamond alichoendelea kuimba utadhani ngonjera kasauti kake hakana ladha tenaila jamani rnb wa amerca wanaimba[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] ukisikiliza neyo anavoimba utatamani amalizie wimbo wote
Ziko fimbo za aina nyingi mkuu [emoji23]ndio... haya furahi sasa...
Umewahi kula hizo nyama kiasi ujue walaji wana roho gani?Sio kwa roho mbaya hiyo mkuu..!
Yaani kama unakula nyama za watu, vilee...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alipoimba chibu i want to marry you[emoji119][emoji119]Kwakweli..yani baada ya neyo diamond alichoendelea kuimba utadhani ngonjera kasauti kake hakana ladha tena
Audio ina ukakasi...kama anategemea video ajiunge bongo movie.... Mwisho hauko mbaliVideo iko vizuri sana, kama kawaida Diamond hajazingua hapo.
Mara ya mwisho ulinunua lini MkuuMuuzaji huyo
LeoMara ya mwisho ulinunua lini Mkuu