Tuwasindikize wanaoenda kuripoti Polisi kwa Video mpya ya Simba

Wakati makonda anawataja wale wahusika jana kwanini hukumuuliza kama wamemuuzia lini unga?
Napenda kumjibu mtu kinafiki endapo yeye atauliza kinafiki
Ngoja wakabanwe korodani watataja tuu
 
Huge budget ila wimbo sasa ptuuuu!

Japo ni shabiki wa dai na ninamkubali ila kwa huu wimbo hapana niwe mkweli tu.
Utachelewa sana kumuelewa huyo bwana mdogo...utaona tu matunda ya hiyo unayoita video mbaya yebye budget kubwa...huyo ndio Almasi Domo bhana usimu under estimate
 
Video nzuri sanaaa

.... Hivi kwa nini Makonda ajamtaja mond kwenye issue ya danga
 
Mimi mshabiki wa wasanii. Hii video kuna elements hazijaa vizuri, yaani diamond hajatumia opportunity nzuri ya america kushoot vizuri. Au cameramen hawajaifanyia haki hii video. baadhi ya sehemu ziko soo faint na haivutii macho.
Hata acting ya diamond haikuwa nzuri bado kwenye hiyo.
Video nzuri ninazozikubali kupendeza kwa diamond ni "kesho" na "muziki gani"
 
Utachelewa sana kumuelewa huyo bwana mdogo...utaona tu matunda ya hiyo unayoita video mbaya yebye budget kubwa...huyo ndio Almasi Domo bhana usimu under estimate
Sijui huwa mnasoma kinyume. Kuna sehemu nimesema video mbaya?
 
watanyooka tu mwaka huu team kiba, mfyuuuuuuuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…