Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Bahati yake alichangia madawati..lakini nae atakamatwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Makonda akusikie
Wakati makonda anawataja wale wahusika jana kwanini hukumuuliza kama wamemuuzia lini unga?Ngoja Makonda akusikie
Ngoja wakabanwe korodani watataja tuuWakati makonda anawataja wale wahusika jana kwanini hukumuuliza kama wamemuuzia lini unga?
Napenda kumjibu mtu kinafiki endapo yeye atauliza kinafiki
Ndio itakua furaha yanguNgoja wakabanwe korodani watataja tuu
Utachelewa sana kumuelewa huyo bwana mdogo...utaona tu matunda ya hiyo unayoita video mbaya yebye budget kubwa...huyo ndio Almasi Domo bhana usimu under estimateHuge budget ila wimbo sasa ptuuuu!
Japo ni shabiki wa dai na ninamkubali ila kwa huu wimbo hapana niwe mkweli tu.
Wabongo banaHata Diamond ni suala la muda tu anafuatiliwa
Sijui huwa mnasoma kinyume. Kuna sehemu nimesema video mbaya?Utachelewa sana kumuelewa huyo bwana mdogo...utaona tu matunda ya hiyo unayoita video mbaya yebye budget kubwa...huyo ndio Almasi Domo bhana usimu under estimate